Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

Makundi matatu ukiyagusa umeigusa dunia
1.Wayahudi
2.Mashoga/Wasagaji(Gays)
3.Wanawake
Tafakari hayo makundi yananguvu kubwa ukishidana nayo huwezi kushinda.
Je madawa ya kulevya na magaidi hawamo?
 
SSamia
Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni kukubali haki za mashoga! Misaada hii iliyoahidiwa ya mamilioni ya dola za marekani itatekelezeka kwa masharti ya uhuru wa haki za binadamu ikiwemo ya LGBT! Hii ni hatua ya kwanza ambayo lugha ya awali inayotumika hadharani ni DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU!! Wakati wa kutaka kupokea hiyo misaada ndio ufafanuzi wa demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu wa marekani hufuata na hapo ndio suala la haki za mashoga/LGBT hujitokeza!! Je tutakua na ubavu wa kukataa misaada hii lukuki?? Yetu macho!! Ila Malawi walishindwa wakajikuta wanahalalisha ushoga rasmi!!

Taarifa ya Marekani iliyotolewa rasmi kuhusu makubaliano ya demokrasia na haki za binadamu hapa Tanzania wakati wa ziara ya makamu wa rais wa Marekani hapa nchini ni hii hapa:

• Kuimarisha Haki za Kidemokrasia na Utawala Bora:
Katika maombi yake ya bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024, utawala wa Biden-Harris umetenga takriban Dola za Kimarekani milioni 16.4 kugharimia programu zinazohusu demokrasia, haki na utawala nchini Tanzania. Hili ni ongezeko kubwa la msaada kwa jitihada za Tanzania katika eneo hili. Zaidi ya hayo, USAID imeichagua Tanzania kama nchi itakayopokea usaidizi kusaidia jitihada zake za kukuza ushiriki wa wanawake na wasichana katika uongozi wa kiraia na kisiasa, hivyo kutoa takriban Dola za Kimarekani Milioni 1 za ziada kugharimia programu hizi kuanzia mwaka huu.

Huko GHANA Makamu wa rais wa Marekani ambako ndiko alikoanzia ziara yake barani afrika hakumung'unya maneno kuhusu mfungamano wa demokrasia na haki za mashoga-LGBT. Huu hapa msimamo wake wakati anaongea na Rais wa GHANA:

In a joint press conference with President Nana Akufo-Addo on Monday, Harris did not directly address the bill, but affirmed that LGBT rights were “an issue that we consider to be a human rights issue, and that will not change.”
Last week, National Security Council spokesman John Kirby told reporters at the White House that LGBT rights were “something that’s a core part of our foreign policy, and it will remain so.”

Tusijidanganye kuwa msimamo huo wa Marekani kuhusu haki za binadamu na ushoga utabadilika hapa Tanzania tofauti na kwingineko!! Wamesema kabisa kuwa hilo halitabadilika na ni sehemu muhimu sera ya nchi za nje ya marekani!!

Watanzania tusije tukajikuta tumeingia mikataba kama enzi za kina MANGUNGU!! Tutaambiwa ukipenda boga penda na ua lake!!! Kwa mujibu wa Marekani huwezi ukatenganisha haki za binadamu na haki za mashoga!! Marekani ikiongea haki za binadamu ujue inaongea haki za mashoga. Tafadhali tusijitoe ufahamu tukajifanya hatujui Marekani anamaanisha nini anaozungumza habari ya demokrasia na haki z
Aiseeh Samia ataziacha kweli ngoja tuone
 
Anajidanganya haki na kuwa huru ni maridhiano ya Mbowe na ccm?

Kumbe kuruhusu nguvu kazi kupasuliwa marinda kuwa mafaruku
Mkuu wakuruhusu ushoga na wewe utakuwa tayari kupasuliwa marinda yako kisa Serikali imeruhusu upumbavu?
 
Wadau karibuni tulipigie kelele hili kungali mapema!! Waswahili husema "mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake" Rais Kikwete alisimama kidete sana kupinga ushoga wakati wa awamu yake. Aliwahi kumkataa balozi wa nchi moja ya ulaya ambaye alikuwa shoga na "mkewe alikuwa mwanaume mwenzake". Je ubavu huo upo kwa sasa? Spidi ya kuvutia misaada ya Marekani inatisha!!
So Serikali ikiruhusu ujinga huo na wewe utakuwa tayari kupasuliwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang mnaumia sana, anyway poleni
 
Tungekuwa tunajiamini wenye misingi isiyoyumba tungeweka msimamo wetu wazi, ambao hata Kamala angeujua akiwa kwao Marekani, ndio maana hajakanyaga Kenya wala Uganda, amekuja straight Tanzania akijua fika sisi tuna kigugumizi ni wepesi kutongozwa, na tumeshatongozwa kwa hizo $560m.

Sasa tumebaki kutafuna kucha tu!.
Kenya si hadi mahakama imepitisha sheria au?
 
Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni kukubali haki za mashoga! Misaada hii iliyoahidiwa ya mamilioni ya dola za marekani itatekelezeka kwa masharti ya uhuru wa haki za binadamu ikiwemo ya LGBT! Hii ni hatua ya kwanza ambayo lugha ya awali inayotumika hadharani ni DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU!! Wakati wa kutaka kupokea hiyo misaada ndio ufafanuzi wa demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu wa marekani hufuata na hapo ndio suala la haki za mashoga/LGBT hujitokeza!! Je tutakua na ubavu wa kukataa misaada hii lukuki?? Yetu macho!! Ila Malawi walishindwa wakajikuta wanahalalisha ushoga rasmi!!

Taarifa ya Marekani iliyotolewa rasmi kuhusu makubaliano ya demokrasia na haki za binadamu hapa Tanzania wakati wa ziara ya makamu wa rais wa Marekani hapa nchini ni hii hapa:

• Kuimarisha Haki za Kidemokrasia na Utawala Bora:
Katika maombi yake ya bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024, utawala wa Biden-Harris umetenga takriban Dola za Kimarekani milioni 16.4 kugharimia programu zinazohusu demokrasia, haki na utawala nchini Tanzania. Hili ni ongezeko kubwa la msaada kwa jitihada za Tanzania katika eneo hili. Zaidi ya hayo, USAID imeichagua Tanzania kama nchi itakayopokea usaidizi kusaidia jitihada zake za kukuza ushiriki wa wanawake na wasichana katika uongozi wa kiraia na kisiasa, hivyo kutoa takriban Dola za Kimarekani Milioni 1 za ziada kugharimia programu hizi kuanzia mwaka huu.

Huko GHANA Makamu wa rais wa Marekani ambako ndiko alikoanzia ziara yake barani afrika hakumung'unya maneno kuhusu mfungamano wa demokrasia na haki za mashoga-LGBT. Huu hapa msimamo wake wakati anaongea na Rais wa GHANA:

In a joint press conference with President Nana Akufo-Addo on Monday, Harris did not directly address the bill, but affirmed that LGBT rights were “an issue that we consider to be a human rights issue, and that will not change.”
Last week, National Security Council spokesman John Kirby told reporters at the White House that LGBT rights were “something that’s a core part of our foreign policy, and it will remain so.”

Tusijidanganye kuwa msimamo huo wa Marekani kuhusu haki za binadamu na ushoga utabadilika hapa Tanzania tofauti na kwingineko!! Wamesema kabisa kuwa hilo halitabadilika na ni sehemu muhimu sera ya nchi za nje ya marekani!!

Watanzania tusije tukajikuta tumeingia mikataba kama enzi za kina MANGUNGU!! Tutaambiwa ukipenda boga penda na ua lake!!! Kwa mujibu wa Marekani huwezi ukatenganisha haki za binadamu na haki za mashoga!! Marekani ikiongea haki za binadamu ujue inaongea haki za mashoga. Tafadhali tusijitoe ufahamu tukajifanya hatujui Marekani anamaanisha nini anaozungumza habari ya demokrasia na haki za binadamu!!
Shoga ni shoga tu, anayelawiti wamaume wenzake na anaye lawiti democrasia, haki za wengine, pesa za umma wote ni mashoga
 
Acheni utoto kwahiyo Taliban wakisema waislam duniani wafanye Jihad basi Ina maana hata Hawa waislam wa Tanzania nao tuwaone ni jihadists?

Demokrasia Ina misingi 11, mfano uhuru wa habari, uhuru wa mahakama, Minority rights, uchaguzi huru, haki ya kusikilizwa, uwajibikaji n.k Sasa kivipi hayo yote yanalenga ushoga??

Wanachofanya USA ni minority rights ndio maana sera zao ni kulinda makundi kama watu weusi, mashoga, wanawake, haki za wanyama, mazingira n.k and not necessarily tu ushoga kama tunavyopotoshana humu.

Kingine demokrasia haukuanzia USA ilikuwepo Ugiriki huko miaka na miaka Cha kushangaza mnaigeuza kama ni ya wamarekani.

JF Haina GT siku hizi
Hahaha
 
Tungekuwa tunajiamini wenye misingi isiyoyumba tungeweka msimamo wetu wazi, ambao hata Kamala angeujua akiwa kwao Marekani, ndio maana hajakanyaga Kenya wala Uganda, amekuja straight Tanzania akijua fika sisi tuna kigugumizi ni wepesi kutongozwa, na tumeshatongozwa kwa hizo $560m.

Sasa tumebaki kutafuna kucha tu!.
Waaafrika TULIKUWA na misimamo yetu thabiti kabisaa, kabla ya kuja hii kitu inayoitwa demokrasia.
 
Back
Top Bottom