Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

Naona unazunguka unanirudisha kule kwa Ruto niliposema hata kama sheria za nchi zinakubali/ kataa, kama ambavyo tumeona mfano wa Kenya ambapo mahakama ilikubali hilo jambo, lakini msimamo wa Ruto na Odinga upo very clear, hawataki ushoga...

Ndio maana nikauliza; kwanini kwetu iwe tofauti hata kama sheria zetu zinakataza, kipi kinachomshinda Samia "kugongelea nyundo" yake hapo badala yake tunaiachia sheria isiyo na mdomo huku tukichukua misaada toka kwao?

Ukumbuke, ule msisitizo wa kina Ruto na Raila ndio inawezekana umemfanya Kamala asikanyage Kenya, [ japo hawakutumia mic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]] na badala yake akaamua kuja kwetu coz tuko "soft" tumeyaachia maandishi ya kwenye karatasi yaongee [sheria], so never under estimate power ya msisitizo.

Sijui kama unaielewa pointi yangu hapo juu mjomba..
 
Hatukubali kuwa watumwa tena. Kwanza sio lazima tupate hiyo misaada yenye kutupeleka Sodoma na Gomorra.
Huko America chama cha Republican ambacho sasa kinaongoza bunge lao, kinapinga ushoga. Trump alifuta ruksa ya mashoga kuendelea kuwa jeshini, ruksa iliyotolewa na Obama ( Democrat). Republican wanaweza kushinda uraisi wa US 2024.
Na Sio lazima tuwe matonya wa Dunia daima dumu-miaka 61 baada ya uhuru bado mentality ni ya kupigia magoti wazungu na waarabu! Ni aibu.
 
Mbona Mama Samia kaongelea hili juzi tu? Au mnataka afanyeje?

Kingine huko Kenya juzi tu ameenda Jill Biden yaani first lady ndio sembuse makamu wa Rais?

Ruto hata apige kelele haisaidii maana huko duniani inayotambulika ni sheria, so maadam mahakama imeruhusu NGO za LGBTQ kusajiliwa then hiyo ndio picha iliyopo duniani.

Ni sawa na mtu aseme namchukia walevi alafu ndani kwake Kuna makreti ya castle lager!! Alafu mkimuuliza aseme "sio za kwangu ni za mke wangu na watoto wangu"? Does it make sense?

Sheria ndio Kila kitu sio maneno matupu
 
Nna uhakika katika uzao wa Mama samia anao pia watoto wa kiume, nawaza atakuwa ajiuliza ikitokea huu mswada nikapitisha na mm mwanangu wa kiume akajajiingiza huko na akanambia Mama wewe ndo uliruhusu itakuwaje?.
Samia ni mzazi na anajiita mama sidhani kama anaweza kutupeleka huko.
 
Tunataka auweke msimamo wake wazi mbele ya hao wanaotupa misaada, kuongea na wanafunzi vyuoni ndio kitu gani?!

Hiyo ni sawa na kuongelea mafichoni.

Tazama anachofanya Museveni, licha ya sheria zake lakini bado anasisitiza kila siku ushoga Uganda No.
 
hope kwa east Africa, Tanzania kinaweza kuwa kituo au head quarter yao... Nikiangalia naona tunazihitaji sana hela za beberu na ushirikiano nae kuliko jirani zetu.
Siamini hivyo na naamini kwamba pamoja na kuzihitaji fedha, Tanzania haitauza utu wake kwa ajili ya fedha hizo.
 
Wewe ndiye mjinga uelewi kitu hapo alafu unajifanya et unaona serikali yetu ni wajinga kama wewe.

Unaposema haki za binadamu, unamanisha nini? Kwahiyo hao LBTQ kwani wao sio binadamu? Kana kwamba haki za binadamu ziwaache nje? Ebu jibu

Wanacho fanya USA ni kutetea haki za kibinadamu duniani hasa katika nchi zetu ambazo no human rights tunachukuliwa kama mbwa na watawala wetu

So nyie ambao mnatuona kama mbwa wenu, hampendi mnapoona USA anawalazimisha kuheshimu na kujali haki zetu za msingi

Umezungumzia kumwewezesha mtoto wa kike au jinsia ya kike katika kushika nyadhifa za kijamii na za kisiasa wewe kwako hapo utaki, nikwambie katika hili hamna la kufanya

Mmeshikwa pabaya na USA, since pesa zao mnataka na hamuwezi kuziacha, mmejaa ufisadi CCM tangu nchi ipate uhuru hadi leo

Matajiri na wenye maisha ndani ya nchi hii ni CCM, wengine sisi ni mbwa kwao kupotezwa, kuteswa, kuuliwa, nk tumezoea labda USA waje watuokoe jamani
 
Nimeamini waafrika ni wajinga totally, issue inazungumzia haki za kibinadamu sio haki ya kikudi fulani ok

Mkisikia haki za kibinadamu mbona mnaumia kulikoni vijana wasomi wenye uwezo na akili ya kupembua masuala haya?

Msipindishe USA inatetea haki ya kila mmoja ok, na anahitaji kuona haki inatamalaki miongoni mwetu, wanahitaji kuona tunathaminiwa na kutendewa haki kama binadamu na sio kama mashoga

Unazungumzia makonda huyu huyu, aliyeua na kupoteza watanzania wengi, unazungumzia Museveni aliyekatalia madarakani kwa nguvu, na nchi amegeuza kama saccos ya ukoo wake ambae mwanaye et ndo arithi saccos hiyo

Hauna akili braza, wacha mlazimishwe kutii haki za kibinadamu pumbavu zenu, ujui kitu kuhusu haki za kibinadamu so usiwe unapotosha kwa ujinga wako
 
Tunafanya utapeli pokea pesa baadae unaweka sheria ya kuzuia mapenzi jinsia moja pambafu kabisa. Pumbafu dawa yake jeuri, tapeli kwa tapeli, mwizi mwenzake mwizi,
staki ujinga ujinga wanangu wazikose pisi kali, kisa wamekuwa mashoga Mungu pishia mbali kabisa na kizazi changu na ushetani huu.
 
Watu navyoshupalia ushoga utadhani ndicho kitu pekee cha aibu kinachofanyika Tanzani na Africa kwa ujumla!na tunavyozidi kuongelea ushoga ndio tunaupromote kwa kudhani tunatetea utamaduni wetu!

Mambo haya sio mageni hata kidogo yalikiwepo na watu waliokuwa wanajihusisha na ushoga waliitwa majina yao ya kuwabeza na kuwatweza kama ishara ya kuonyesha matendo yao hayafai matika jamii.kwa mfano katika jamii ninayotoka watu hao waliitwa "amashasha lishasha"kwa wingi na umoja.

Africa inamambo mengi Sana ya kijinga kama uchawi na ushirikina mbona hatuyaongelei kama ulivyo ushoga.ushauri wangu tuache kuchochea ushoga kwa kuungelea Kila mara na serikali iufanye ni kama uchawi tu kwa kuamini haupo.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Hivi umeishia darasa la ngapi? Unawezaje kutenganisha demokrasia na haki za kibinadamu? Eti huyu naye anapambana kuujenga nchi aise

Unapoamua kukubali demokrasia, umekubali haki za kibinadamu ok, kwavile ujitambui wewe unajua haki za kibinadamu ni ushoga tu kubwa jinga, kwani shoga huyo yeye sio binadamu?

Kuna police sijui wawapi picha yake ilivuja akipeleka moto, kwahiyo alikuwa ni Mmarekani au yule aliyekuwa akimpelekea moto alikuwa ni Mmarekani?

Je nchi au nyie wapumbavu hatua hipi mmechukua dhidi ya firauni afande? Ebu simamieni malezi na maadili ya watoto wenu vyema acheni kusingizia ujinga ok

Kuna akina sijui nani wale et ni wasanii wafanywa kinyume na maumbile na wanarekodi wanatuma kwenye mitandao kwahiyo ni wamarekani wale?
 
Tenganisha haki na wajibu

Hawa mashoga wanachofanya cha active recruitment na kulazimisha tuwachukulie normal sio sawa…

Wana haki ya kuishi lakini wana wajibu wa kuheshimu culture zetu

Nyege za kinyume na maumbile should not be even a point of discussion

Ni sawa na haki za wachawi na washirikina au watumia mihadarati
 
Ukiwa na njaa wewe ni mateka akawambie hayo Wachina
 
Lengo kuu ni kupunguza idadi ya watu duniani Ili waweze kuwacontrol.
 
Hata hizo haki za binadamu USA wenyewe still wanazivunja.
Hakuna haki ya kuwalazimisha watu wafuate utamaduni wako usiofanana na wao
 
chukua tahadhari kwa mwanao wa kiume mimi na uzee nlonao siwezi tena kuwa shoga
Umejibu kwa hekima sana kwenye swali la kijinga. Kumbe huwa una akili timamu. Nakupa likes zote, nimegumdua kumbe huwa mnajivika ujinga wakati mko na akili nzuri tu.
 
Ila hili swala ni lakijamii zaidi Hadi Sasa serikali haijaingiza mitaala ya ushoga mashuleni lakini watu wanatatuana marinda.uko zako nanjilinji huko unafirana maerkani yupo huko? Jamii imelipokea suala hili na inalitekeleza sirini af mkija mtandaoni mnalaani wakati usiku unaenda kutafuta shoga unamfira. Vita hii hatuwezi ishanda kama tutaendekeza unafki
 
Nasemajeee Samia hajatulia bahati mbaya, anajua anachokifanya. Bure gharama
 
Hata anaposhauri wanafunzi kujilinda na desturi za nje anaona aibu kukemea moja kwa moja ushoga!!~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…