Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

Hii ni kama Shinyanga vijijini. Kuna mtu anaitwa Nyanda madeleka , Kuna Nyanda madirisha!.

Hao watu hata aje Chris brown hawez kusikilizwa mbele yao
Hahaha na zile nyimbo zao watu wanacheza na kuruka huku msanii anataja maduka ya mwanza na Geita ka mix na mdundo dah kwenye bulabho ilikuwa kazi sana baada ya kukaa kule kwa mda nikajikuta naanza kupenda zile ngoma
Alikuja Ney kapiga show watu hawaelewi alivyopanda nyanda madirisha dah!!
 
Mm nimekaa kule nikawa naona nyimbo Kali mno mana walikuwa wanazungusha viuno mpka jasho... Asee balaa
 
We Miso Misondo umepigaje hapo?
 

Maokoto
 
Huyo Misondo anajulikana vijijini huko Masasi, Nachingwea na Raungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…