We ngoja siku nitakuletea risiti, sijawahi thou.DA niffah hebu bhana nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1M hiyo vepeee?
Hivi unajua kwanini nawatetea sana? Kalavu stori kao kanaendana na kangu kiasi fulani heheheeeNa alikaza kweli; mwisho wa siku mama Naya akamuomba tu baba Naya aangalie mwenyewe kati yake na huyo girlfriend wake by then; nani atamfaa zaidi. Against all odds; mama Naya, akampata tena baba Naya. Such a beautiful love story
Heheheeh zinaanzaje kuchakaa sasa; nazi-update tu. Namkumbuka sana huyo binti enzi zake alijua kumnyima raha mama juhjuh; full kujipost amevaa mashati ya jasiri.Eeeeh waaa, huyohuyo.
Twin we nae mpanaaa, files zote unazo na hazichakai 🤣🤣🤣
Na kastori kako kamenikaba haswa, nakatamani; uongo dhambi.🤣🤣🤣🤣🤣Hivi unajua kwanini nawatetea sana? Kalavu stori kao kanaendana na kangu kiasi fulani heheheee
Alivyokuwa anachezaga na lile tumbo lake jamani? Tumeona mengi sana.Heheheeh zinaanzaje kuchakaa sasa; nazi-update tu. Namkumbuka sana huyo binti enzi zake alijua kumnyima raha mama juhjuh; full kujipost amevaa mashati ya jasiri.
Alikuwa anapiga mahesabu yake kimyakimya; mara paap kaibuka na Shabani.Alivyokuwa anachezaga na lile tumbo lake jamani? Tumeona mengi sana.
Ila Zamaradi ni mtulivu sana, imagine fujo zote zile lakini aliendelea na Baba Juhjuh wake huku akiwa na Shuby kichanga!
Mimi nisingeweza kwakweli, moto ungewaka na mashati yangechomwa moto!
Kwakweli alidhalilika sana, lakini reaction yake nilinyanyua mikono!Alikuwa anapiga mahesabu yake kimyakimya; mara paap kaibuka na Shabani.
Aisee alijua kuvumilia; sio kwa humiliations zile
Kwahio nenga amemrudia kwa kumuonea huruma 😄Hata mimi najua hivyo, Nenga alikaza sana.
Ilibidi Nandy nae aombe mno hadi kurudiwa.
Kuna siku Nandy alimpost Bill kwenye birthday yake na maneno ya mapenzi, Bill aliwakaaaaa.
Alisema ana girlfriend, Nandy aheshimu hilo.
Ikabidi afute!
Ila ukiangalia hapo ni kama jamaa amegeuzwa geuzwa tu kama chapatiNa alikaza kweli; mwisho wa siku mama Naya akamuomba tu baba Naya aangalie mwenyewe kati yake na huyo girlfriend wake by then; nani atamfaa zaidi. Against all odds; mama Naya, akampata tena baba Naya. Such a beautiful love story
Ni ya wasanii wote haina tofauti na baraza la Sanaa….😂😂Kwamba inatakiwa ilipiwe kodi? 🤣🤣🤣
sio kirahisi hivyo. Jambazi akikupora utapotezea kwa kuwa ni namna yake ya kujipatia riziki? tusimhusishe Mungu kwenye upumbavuMkuu, kila mmoja ana namna yake ya kujipatia riziki iwe nzuri au mbaya tumuachie na maisha yake.
Akili za kigaidi kama zako huongelea udiniAkili kubwa zinaongelea maendeleo.
Akili za kawaida zinaongelea matukio.
Akili mbovu zinaongelea watu.
Hahahaaa..... Itakuwa.Au aligongewa mkewe
Ndo wanaokimbilia umario.Sasa hawa wa 2000's si ndio manyoka kabisaa