Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Kumba Irene ni baharia? Lols

Ila yeye ndio akanasa kwa Dogo Janja sasa, ama kweli ndege mjanja nae hunasa.
 
That's the story...
 
Alikuaga na nenga tayari ndo wakaachiaga na koneksheni ya kile kyupi....haya kaenda kwa marehemu huku wapenzi watazamaji tunajua kabisa "kosa la marehemu" halafu tena akarudi kwa nenga, ina maana hapo wote....aaahhh au basi tu
Ati kosa la merehemu? 🤣🤣🤣

Ila si walipima na wakaonesha vipimo hadharani jamani? Hasa Nenga ndio alipanic baada ya hiyo issue ya kosa la marehemu iliposhika kasi.
 
Ati kosa la merehemu? 🤣🤣🤣

Ila si walipima na wakaonesha vipimo hadharani jamani? Hasa Nenga ndio alipanic baada ya hiyo issue ya kosa la marehemu iliposhika kasi.
Oooh kama ndo hivo afadhali....mama naya atoe sadaka katika ile steji afu akose naniliu labda walikua hawananiliu aaaah hivi nmeandika nini hongera zake nlikuaga namuwaza.
 
ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya mapenzi ya leo yanashikiliwa na pesa. Na hii ni kwa rika zote. Bila pesa ni ngumu mahusiano kudumu hata kama mngekuwa mnapendana vipi. Ni wachache sana tena sana wanaweza kushindana na tamaa ya pesa. Ndo maana wadada kwa wakaka, pesa ikishaingia kweny equation, penzi lipo hatarini.
mwenyezi Mungu atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…