Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

Dk 30 za Lissu zina maana kuliko massa 8 aliyoongea Magufuli. Muongo huzunguka sana ili kuaminisha uongo wake.....
Upuuzi mtupu, huyo anayesema hatakusanya kodi na hapohapo anatuahidi mambo kibao, atalipa vipi wafanyakazi bila kodi? ataajiri vipi bila kodi? ataongeza mishahara vipi bila kodi? hivi mnatuchukuliaje watanzania lakini?

Anaahidi kufuta anazoziita kodi 15 za wafanyabiashara na hivyo kuruhusu bidhaa kuingia nchini bure, kweli tunamchagua ili atafutie mabwana zake soko la bidhaa za viwanda vyao? tunamchagua ili aifanye Tanzania dampo? anataka turudi kwenye ukoloni? Pathetic..
 
sasa huoni umetoa pumba na umejijibu, kwan hizo ndege hazijatoa ajira? alafu mbna mzunguko wa pesa uko fair, infact tsh ndo pesa pekee mwaka huu iliokua head to head na USD, kwa kifupi nenda tu kalale
Zimetoa ajira kwa ma pilot 10

Lakini hiyo pesa ingewekezwa katika ajira maelfu wangepata ajira na mishahara na mafao yangeozeka
 
Zimetoa ajira kwa ma pilot 10

Lakini hiyo pesa ingeeekezwa latika ajira maelfu wangeoata ajira na mishahara na mafao yangeozeka

sasa wewe ulitaka wanaosomea pilots wasiajiriwe ama? na wale air host je? acheni pumba
 
Hila maisha kweli ni magumu mzee kabana sana hatutaki maendeleo ya vitu pia watu pia tuwe na hela tofauti na kipindi cha nyuma cha mzee J. K huyu wanakula wale wale ambao wapo kwenye system hii mbaya sana mzee anatupuuza sana si kwa vile anaona hakuna mbadala wake? Lissu bado sana kuongoza lakini mzee kabana mimi ni kada kinda kinda lakini nimeona niseme ukweli
 
sasa huoni umetoa pumba na umejijibu, kwan hizo ndege hazijatoa ajira? alafu mbna mzunguko wa pesa uko fair, infact tsh ndo pesa pekee mwaka huu iliokua head to head na USD, kwa kifupi nenda tu kalale
Tsh ipi unayoongelea wewe hapo mkuu?
 
He is a DISASTER and a DISGRACE to our beautiful country. The future of this beautiful country is very BLEAK.

 
👊👊
 
Huyo anayekusanya kodi za dhulma na wizi mbona hajaajiri vijana kwa muda wa miaka sita anapiga blah blah tu???
Sio nchi ya wafanyakazi pekee hii, pesa inayokusanywa tunaona inakoenda, tuliombwa kufunga mikanda na tumeridhia, wakulima washalalamika lini kutokuajiriwa miaka yote wafanyakazi wanapoajiriwa? ni lini wakulima weshalalamika kutokuongezewa mishahara wakati wafanyakazi wakiongezwa mishahara? SGR na Mwl Nyerere HEP zitatumiwa na wote wakulima na wafanyakazi, huyo anayetueleza atafuta kodi na bado atatoa huduma ya afya bure, atalipa mishahara na kuleta mafuriko ya bidhaa za nje nchini atatoa wapi pesa? tunachagua afisa masoko wa mabeberu?
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…