😀😀😀😀Yani we acha tu! Nilisikia eti aliyewahi kuwa rais wa South Africa Thabo Mbeki ana mtoto wa kike anaitwa Sito Mbeki ila hiyo nahisi watu walizusha tu mitandaoni!
Yani we acha tu! Nilisikia eti aliyewahi kuwa rais wa South Africa Thabo Mbeki ana mtoto wa kike anaitwa Sito Mbeki ila hiyo nahisi watu walizusha tu mitandaoni!
Mgeni akifika Zanzibar, Watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Makazi (Nyumba) wanaita Makalio
Utasikia mafuriko yameharibu makalio ya watu zaidi ya 600
Kubisha wanaita Kudinda
Utasikia mie nilimuambia fanya hivi usifanye vile yeye akadinda
Majina ya maeneo sasa ndiyo utacheka uzimie sijui Mchamba wima mara Kibanda maiti! Kuna sehemu inaitwa sijui Banda la Karafuu kata ya Pita na Zako!
Yes kwa nchi nyingi sana kuna maneno yanaingiliana ila tu yanakuwa na maana tofauti unakuta neno fulani kwa lugha fulani lina maana nzuri kwa lugha nyingine lina maana mbaya! Mfano South Africa neno "mkundu" (ashakum si matusi) ni jina la mtu na lina maana nzuri tu!
Mkuu ili lina ukweli kweli?Eeh geti wanaita Jitobo
Ha ha! Usihofu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Wewe ebu acha kunivunja mbavu mbele za watu mie yani umenifanya ni-screenshot hii comment nije nicheke na baadae. Wewe umetembea sana huko aisee ngoja nami nijipange nije kwenda huko niinjoy maisha.
KENZY jipange tutaenda huko mchamba wima.
Binafsi siwezi shuka kwenye hicho kituokwa kauli hii ya ntie dole nmeamini hakuna right and wrong lakn inategemeana na jamii husika ina define vp jambo husika.
Teh tehUwongo!
Ukifika mtafute Kirindo akupe dawaKwa sifa hizo Zenji nakuja
Shida gonga mali ya mtu akubambe na "wao"wanakugonga vizuri tu huku "mpenzi"wenu anashuhudia na wala hawakutangazi mwenyewe tu unahama kimya kimya na wana namba yako wanakusalimia mpaka unabadili nambaDuh nikiskia huko zenji huwa nawaza kuwa ni sehemu ya kipekee sana.
Lafudhi kama hizo vyakula tofauti vyao,mavazi,
Kama hujui unaweza mtia dole kweli.
Vipi mkuu pisi zipo huko zinatafunika?
Watu wanaingia na pigo gani?
Ni kama wahindi wana makna ya akna KUMAR wakat huku ni tusiYes kwa nchi nyingi sana kuna maneno yanaingiliana ila tu yanakuwa na maana tofauti unakuta neno fulani kwa lugha fulani lina maana nzuri kwa lugha nyingine lina maana mbaya! Mfano South Africa neno "mkundu" (ashakum si matusi) ni jina la mtu na lina maana nzuri tu!
Si afadhali hata wangekuwa wanasema "shusha" sasa, wengi wanasema "tia"! Kuna sehemu inaitwa Dole konda akisema "Dole" anayeshuka hapo anasema "tia", au utasikia n'tie Dole hapo!
Yaani wale maneno mengi wanayoyaongea ukiyaleta kwa tafsiri ya bara unakuta ni Matusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haaa eti chupi inaitwa Hafu. Hatari sana
Yani we acha tu! Nilisikia eti aliyewahi kuwa rais wa South Africa Thabo Mbeki ana mtoto wa kike anaitwa Sito Mbeki ila hiyo nahisi watu walizusha tu mitandaoni!
Yani we acha tu! Nilisikia eti aliyewahi kuwa rais wa South Africa Thabo Mbeki ana mtoto wa kike anaitwa Sito Mbeki ila hiyo nahisi watu walizusha tu mitandaoni!