Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Li-PAULO😂😂😂😂Hahahahaaa!!!! Nimecheka.... Fundi Mfereji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Li-PAULO😂😂😂😂Hahahahaaa!!!! Nimecheka.... Fundi Mfereji...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanafanya kusudi kutukana
Kuna kituo Chao kimoja kinaitwa 'ikikuuma seema'
Konda mkifika anasema 'kikuuma'..
Wanapenda lugha za matusi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kazi kweli kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee. Ila inawezekana tu maana kwa huko kwao hayo majina yanaweza kuwa na maana nzuri kabisa.
Machangudoa walio Zanzibar ni WA bara na kwenda kufanyia ufuska Zanzibar. Hakuna changudoa mzanzibar.Machangudoa wa Zanzibar huwa wanaililia balaa mboo ukiwa unawatomba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli
Ila hilo Sitho ni ufupi
Ndo wabongo wakaliunga na la babake
Inakuwa hivyo..
Kulikuwepo na waziri anaitwa jina tusi kuliko Hilo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ebu acha kunivunja mbavu mbele za watu mie yani umenifanya ni-screenshot hii comment nije nicheke na baadae. Wewe umetembea sana huko aisee ngoja nami nijipange nije kwenda huko niinjoy maisha.
KENZY jipange tutaenda huko mchamba wima.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ila wasauzi nao majina yao ni changamotoNafikiri her actual name ni Sithole Mbeki..
Kulikuwepo na waziri anaitwa Jackline Nthombeni.
Inatokea mrima huko... .. tanga..na dar....imeota sugu... na hawajifichi wanasema wamekuja kuchuma kwenye utalii... jamii ikichanganyika..athar ni kubwa.
Machangu wote pale zenji ni wabara ambao wamekwenda kutafuta kazi za mahotel wakakosa wakawa machangudoa au straight tangu wanatoka bara wamepanga kwenda kujiuza zenji.Machangudoa walio Zanzibar ni WA bara na kwenda kufanyia ufuska Zanzibar. Hakuna changudoa mzanzibar.
Nilikwenda huko mwaka 1973 nilikuta tayari wana televisheni ya rangiONGEENI YOOOTE ILA MSISAHAU KWAMBA ZENJI NDIO NCHI YA KWANZA KUWA NA TELEVISHENI YA RANGI AFRIKA NZIMA.
[emoji16][emoji16][emoji16]palinishindaMgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Shikamoo BabuNilikwenda huko mwaka 1973 nilikuta tayari wana televisheni ya rangi
[emoji16][emoji16]'…Niweke Tobo la pili…', maana yake akushushe kwenye entrace ya pili pale Michenzani Unguja
Ntafika one day vipi kuhusu sekta za serikali kuajiriwa inawezekana?
Au nako ubaguzi mwingi?
Naskia tu huko vijana wengi hawafatilii shule kabisa
Unafuu wa maisha uko vipi?
Naomba nikurekebishe sio harage wanasema haragwe.[emoji23][emoji23] Ni vituko vitupu
Siku hiyo nilikuwa Forodhani nauliza eti maeneo haya huwa wanapika vyakula kama wali au pilau! Yule dereva wa bodaboda aliyenipakia akaniambia huku sana sana wanapika bites na seafoods hasa mida ya jioni ila ukitaka vyakula kama wali harage (hapo kwenye harage nilicheka) au sembe (ugali wanaita sembe) labda utafute maeneo mengine!
Nikawaza kwani angesema tu wali maharage angekufa? Ukiwa mgeni kama haujawazoea unaweza hisi wanafanya makusudi!
Hakuna kitu kigumu Kama kupiga pisi za kizenji. Yaani hapo unatakiwa uwe super star kwenye hiyo anga.Duh nikisikia huko Zenji huwa nawaza kuwa ni sehemu ya kipekee sana.
Lafudhi kama hizo vyakula tofauti vyao, mavazi,
Kama hujui unaweza mtia dole kweli.
Vipi mkuu pisi zipo huko zinatafunika?
Watu wanaingia na pigo gani?
Usiombe uende huko vinijini, wakiongea unaweza usiam ilie kitu[emoji23]Kiukweli ni pazuri na pa kipekee sana asikuambie mtu!
Kuhusu pisi sijui mkuu mimi ni KE ila kuhusu lafudhi na lugha yao kwa sisi wabara tulivyo na vichwa vibovu huwa tunaishia kushangaa na kucheka wanavyoongea vile maana sisi tunaona kama matusi kumbe wenzetu kule kwao hayo maneno ni ya kawaida tu!