chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Umeona,acha tugawane mbao,kila mtu na chakeUko sahihi kwa upande wako, nawashangaa wabara wanaowapambania
Nyie ni wa kuachwa mburuzwe milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona,acha tugawane mbao,kila mtu na chakeUko sahihi kwa upande wako, nawashangaa wabara wanaowapambania
Nyie ni wa kuachwa mburuzwe milele
Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha tafauti,kuna Kibantu,Kireno, Kihindi, Kiarabu.. NkMmeamua kubisha tu
Huko tumehama maana mnabisha tunavyovijua imebidi tuulize tusivyovijua mfurahi kutuelimishaChief, tumeondoka kwenye historia naona umekuja kwenye mambo ya dini sasa?
Ok, ni hivi inatumika na hadi hii leo inatumika inajulikana kama hijri kalenda.
Nilishachukua side kwenye huo mtanange potezeaKiswahili ni mchanganyiko wa lugha tafauti,kuna Kibantu,Kireno, Kihindi, Kiarabu.. Nk
Lakini maneno ya Kiarabu yanajenga asilimia 60 katika Kiswahili
Kuwekwa maneno matano halafu yote ni noun haimaanishi ndio Kiswahili chote
[emoji2986][emoji2986][emoji2986]Huko tumehama maana mnabisha tunavyovijua imebidi tuulize tusivyovijua mfurahi kutuelimisha
Inatumika wapi? Maana darasani sijakutana nayo
Wewe mwenyewe unatumia KK sio KM[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Sasa ukutane nayo ili iweje, wenye imani yao wanakutana nayo kila siku.
Leo hii ni mwaka 1442 AHWewe mwenyewe unatumia KK sio KM
Mpaka ukumbushweLeo hii ni mwaka 1442 AH
Hivi unafikiri kwa kutumia nini? Kila siku naiona naijua, na hakuna alienikumbusha nimeona ni vizuri nitumie mnayoielewa ili tuweze kuelewana, maana ningetumia ya kwangu sidhani kama mngenielewa.Mpaka ukumbushwe
Usipokumbushwa inakuja KK
Tusingekuelewa kwa kuwa haifahamikiHivi unafikiri kwa kutumia nini? Kila siku naiona naijua, na hakuna alienikumbusha nimeona ni vizuri nitumie mnayoielewa ili tuweze kuelewana, maana ningetumia ya kwangu sidhani kama mngenielewa.
Basi kwa taarifa tu leo ni sawa na tar 25, mfunguo 6 (Rabiul Awwal) 1442 AHTusingekuelewa kwa kuwa haifahamiki
Sikuelewi kwa kuwa hatukuelewi kwa sababu Mohamad haelewekiBasi kwa taarifa tu leo ni sawa na tar 25, mfunguo 6 (Rabiul Awwal) 1442 AH
٢٥ /٦/ ١٤٤٢ھ
Sahihi kabisa, basi endelea kubaki na kuamini unayoamini nami niendelee na nibaki na ninayoamini, hakuna sehemu uliyoshikwa mkono kumuamini...Sikuelewi kwa kuwa hatukuelewi kwa sababu Mohamad haeleweki
Nilihisi mapema sana kwamba huu uzi ungekuja kufikia hapa...Sikuelewi kwa kuwa hatukuelewi kwa sababu Mohamad haeleweki
Niliisoma pahala hiiNilihisi mapema sana kwamba huu uzi ungekuja kufikia hapa...
Swala hili siyo la ajabu kwani kuna nyuzi nyingi sana ambazo zimeanzishwa /zinaanzishwa kwa kuongelea jambo fulani ila hatimaye zinageuka kuwa hivi
Kupitia hali hii ndo tuamini MwenyeziMungu yupo ndugu zangu tuchukue hatua jamani achaneni na propaganda za kina Kiranga
Tena huwa nashangaa eti watu wakiwa wamejikita wanazungumzia hayo mambo basi utakuta post zinaeditiwa au zinafutwa kabisa. Moderators hawakuishia hapo bali wakaenda mbali zaidi eti mpaka jukwaa la dini 'akina sisi' hatulioni sijui limefutwa au ndo 'ban' limetuhusu! Sijui.
Nitoe tu wito kwa watu wote kwamba dini ni mfumo mzima wa maisha ya mtu kwahiyo mada yoyote inapofikia kwenye kupondea kukashifu kukandia ku... nk juu ya UISLAMU (QUR'AN/MUHAMMAD/ALLAH) au UKRISTO (BIBLIA/PAULO/YESU) basi tusishangae kwakuwa dini mbili hizo ndizo zinazogusa watu wengi Tanzania
Pikipiki... Vespa......kipando.Usisahau huko hakuna feri wala boti kuna "chombo"!
kuna sehemu nilisoma wanasema ukichukua kamusi ya kiarabu ukaiweka kwenye blenda ukaisaga kwa nusu saa..baadaye ukachukua vile vipande vipande ukaviunganisha mezani unaweza ukatengeneza quran.Sikuelewi kwa kuwa hatukuelewi kwa sababu Mohamad haeleweki
Na hata taasisi ya kiswahili Tanzania makao makuu ni ZanzibarKiswahili kimeanzia Zanzibar,hata hichi ulichokiandika Kama sio Zanzibar usingeliandika
Nyerere alilazimisha Watanganyika lazima wajivunze Kiswahili baada ya kuipatia Tanganyika Uhuru
Zanzibar hakuna makabila, Wazanzibari halisi wamechanganyika damu na Warabu,Wahindi,Wasomali,Waafrika nk..
Lugha moja Tu Kiswahili..
Inaitwa TAKILUKI tena ipo muda mrefu sana kabla ya BAKITA.Na hata taasisi ya kiswahili Tanzania makao makuu ni Zanzibar
Mungu yupo ila dini ni vitu vya ajabu ajabu tu walivyoleta wakujaNilihisi mapema sana kwamba huu uzi ungekuja kufikia hapa...