Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
Ume silimu lini? Nguluwe pombe na uzinifu utamwachia nani?
Hata walioslimu vyote hivyo wanatumia, kingine kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ume silimu lini? Nguluwe pombe na uzinifu utamwachia nani?
BAKWATA msijidanganye kumfunga Sheikh Ponda ndiyo kuendelea na dhulma yenu kwenye mali za waislamu na ndiyo mwanzo wa kuwatumikia viongozi wenu MAGAMBA bila wasiwasi!! Nawahakikishieni kuwa siku zenu zinahesabika laanakum nyie!!!
Unasema?Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Bakwata ni kanisa la Mtumishi nani... maana najua wanaowaonea waislamu ni wakristo tuuu.. na Mwislamu hawezi kumuonea mwislamu mwenzake??...
bakwata ni kanisa la mtumishi nani... Maana najua wanaowaonea waislamu ni wakristo tuuu.. Na mwislamu hawezi kumuonea mwislamu mwenzake??...
Yeah, for this I agree with you, huu ni uonevu.Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Yani mnashusha hadhi ya Majaji kiasi hiki? kesi ya mpumbavu kama Ponda ipangiwe Jaji wakati Mahakimu wapo? hivi wewe Great Thinker gani usiyejuwa kwamba Majaji wanapatikana Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaa peke yake? Mahakama za chini zina Mahakimu tu.Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani.
Swali la msingi kama wafuasi wake wamefungwa miaka kadhaa jela je huyu kiongozi atasalimika?
Updates:
Ulinzi imeimalishwa mtaa wote naona askari kanzu ndio wengi na wale wa FFU kama vile wanaenda vitani
Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Kwa hiyo tatizo ni kwamba Ponda haaminiki, hana watu wa kumuwekea mdhamana siyo kweli? na unapo mwambia Ben akamuwekee mdhamana kwani ni lazima awekewe na Ben? kwani Lema aliwekewa mdhamna na Lema? tunacho zungumza hapa ni haki itendeke na siyo magumashi ya CCM angekuwa ni baba yako au mmeo anagombania shamba kisha kakamatwa na kubakiziwa kesi ya ugaidi ungekuwa unaongea huu upuuzi wako...kamuwekee dhamana wewe basi mbona unaongea kwa mbali sana wala hujajitokeza kwenda kumdhamini
Lema anadhaminika hebu kamdhamini Ponda uone kama hutaachiwa vumbi halafu ukafungwe wewe kiherere
Namuombea ushindi...
Mdini ni wewe ambaye uko busy na makanisa na parokia..Kwamba hayapo tena endeleeni kujidanganya kuwa yatafutika....Anyway....mimi siko huko nimekuuliza Ponda ana hati ya hicho kiwanja? Jibu ni jepesi tu ndiyo au hapana. Pili Nondo za wenyewe mlipeleka wapi? Haya mengine tusubirie hukumu ila hoja mbili hizo zinahitaji majibu murua.
Issue ya kunyimwa dhamana ilikuwa ni muhimu kwasababu hana kazi aliyokuwa akiifanya mbali na uchochezi na maandamano yasiyo na kichwa wala miguu...Angalau tulipumua na kufanya kazi zetu kwa A mani maeneo ya Kariakoo kila ijumaa.
Kama Wabunge wangeingilia uhuru wa mahakama kama walivyofanya kwenye kesi ya gaidi LWAKATARE angeweza kutoka, lakini lolote laweza kutokea tusubiri.
Alikuwa na hati ya hicho kiwanja ? Nondo za wenyewe mlipeleka wapi?
Heshima Kwako kajima na Usabahia kwa wanaJF;Ndugu usiseme wakristo ni wakoloni wa waislamu, hapo utakuwa unakosea, kutumia makandamizo yaliyotokea kwa baadhi ya waislamu isiwe ni chanzo cha fikra yako, kufanya hivyo ni chanzo kingine cha kutofikia muafaka wa maswala kereketwa kwa waislamu (au baadhi ya waislamu)
Utakubaliana nami kuwa kuna baadhi waislamu wanaoishi maisha mema (yasiyo na bughudha) kama vile ilivyo kwa baadhi ya wakristo au baadhi ya watu kutoka tabaka jingine.
Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa masuala ya dini, haswa kusikiliza upande wa waislamu (malalamiko ya video kutoka kwa baadhi ya masheikh) maana huu ni wajibu wa kila raia mwema. Mimi nawapenda waislamu sawa na navyowapenda wakristo wenzangu, Tanzania ni yetu sote bila kujali dini, itikadi, kabila, ukanda, jinsia na tabaka lolote lile, katika hayo masikilizo nimekubali kuwa kuna baadhi ya waislamu walinyanyaswa kutokana na dini yao na hii ni uvunjifu wa katiba (naomba nikiri sijasikiza upande wa pili). Serikali inahitaji kutolea majibu (tafadhali si majibu mepesi)
Utakuabliana nami kuwa suala la Sheikh Ponda ni la kihistoria, na lahitaji hekima katika kulitatua ambayo naamini litawezekana nje ya mahakama. Sababu sheria haingalii kama Ponda anawakilisha watu ambao wanahisia za uonevu bali inaangilia vifungu vinazungumza nini kuhusu suala linalomkabili. Rais ameshakutana na upande wa wakristo, upande wa waislamu utakapofika moja ya agenda iwe suala la Sheikh Ponda hapa ndo mwanzo wa kuanza kulizungumza nje ya mahakama, wawakilishi wa waislamu wasiwe BAKWATA tu bali wale wanaolalamika napenda na Sheikh Ilunga awe mmojawapo
Hitimisho waislamu wa Tanzania waendeleze mapenzi kwa nchi yao hivyo hivyo kwa tabaka lolote lile, tukitumia hekima tutapata majawabu sahihi, kuliko jazba, chuki, na kuendekeza udini
Wenu mpenzi wa nchi ya Tanzania