Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.
Stay tuned.