Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.

Baba yake Sabaya alisema wafungwe walime usiku na mchana na wale wavivu wapigwe mateke! Hili suluhu ya gharama ya kuwalisha. Wacha mtoto akatekeleze maagizo ya baba kwa vitendo.
Alafu kumbe babake Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC.
 
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.

Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.

Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.

Stay tuned.
Mahakama na upelelezi si utawawek huru kama hawahusiki??
 
Mimi nadhani kunahaja ya kupitiwa upyaa adhabu za kifungo.

Lengo la kumfunga mtu ni kumrekebisha au kujirekebisha tabia.

Pia, kumtunza mfungwa ni gharama kwa pande zote, Serikali, mfungwa na familia.

Mbaya zaidi ni pale mfungwa wa muda mrefu anapomaliza kifungo akiwa Hana nguvu tena za kupambania maisha yake na familia yake. Anakuwa Mzigo wa jamii.
Nadhani tugande katika kumrekebisha tabia na si muda wa kukaa gerezani.
Baada ya Sabaya kufungwa?? Mtasema yote.
 
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.

Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.

Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.

Stay tuned.
Kama mlitenda dhambi mkae kwa kutuliia, dhambi inakutafuna
 
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.

Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.

Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.

Stay tuned.
Shida iko wapi? Tuhuma zisipothibitika mahakamani watuhumiwa wataachiwa huru. It's that simple
 
Back
Top Bottom