Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #61
Alafu kumbe babake Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC.Baba yake Sabaya alisema wafungwe walime usiku na mchana na wale wavivu wapigwe mateke! Hili suluhu ya gharama ya kuwalisha. Wacha mtoto akatekeleze maagizo ya baba kwa vitendo.