Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Shida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?Itakuwa jambo jema sana
Shida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.
Stay tuned.
Mkuu wa wilaya ni mtu mdogo sana! Hata kumiliki silaha ni kujitafutia matatizo tu.Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.
Stay tuned.
Ni jukumu la mahakama kuchuja ukweli kutoka ndani ya tuhuma hizo na kutenda haki.Shida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?
Ndiyo maana kuna mahakama ambayo kazi yake ni kuamua kulingana na ushahidi unaotolewa.Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.
Stay tuned.
Mimi nadhani kunahaja ya kupitiwa upyaa adhabu za kifungo.Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.
Stay tuned.
Acha uoga, kama wewe ni msafi basi mahakama haiwezi kukukamata na kosa, and bahati nzuri haya mambo ya kuwekwa ndani bila dhamana soon yanaenda kufutiliwa mbali, kuwa na amaniShida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?
So mtu akandamize wenzake kwa misumari ya ugoko aachiwe tu kisa hayo uliyoandika hapo?Mimi nadhani kunahaja ya kupitiwa upyaa adhabu za kifungo.
Lengo la kumfunga mtu ni kumrekebisha au kujirekebisha tabia.
Pia, kumtunza mfungwa ni gharama kwa pande zote, Serikali, mfungwa na familia.
Mbaya zaidi ni pale mfungwa wa muda mrefu anapomaliza kifungo akiwa Hana nguvu tena za kupambania maisha yake na familia yake. Anakuwa Mzigo wa jamii.
Nadhani tugande katika kumrekebisha tabia na si muda wa kukaa gerezani.
Wewe si ulikuwa kundi la kusifu na kuabudu na hukuwa miumini wa mabadiliko ...na ulishadidia Sana kuteswa watu Bila dhamana ...Acha uoga, kama wewe ni msafi basi mahakama haiwezi kukukamata na kosa, and bahati nzuri haya mambo ya kuwekwa ndani bila dhamana soon yanaenda kufutiliwa mbali, kuwa na amani
Wananchi wakipigwa na kuuwawa na Watu kama akina Sabaya it is Ok. Wananchi hao hao wakipata mwanya wa kutafuta haki yao eti ni Kiburi na kuleta kesi za uongo. Mbona hukuwalaumu wanao wabambikizia kesi Wananchi mpaka Rais kakemea??. Sometimes kuweni objective Wananchi siyo Wajinga.....Disgusting[emoji41]Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma zao. Zaweza kuwa kweli au yenye lengo la kukomoana kutokana na hulka ya binadamu kutopendana.
Stay tuned.
Acha kuishi kwa hisia.....Shida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?
Kwa hiyo majambazi yaende kuhifadhiwa wapi hujakutana na jambazi weweMimi nadhani kunahaja ya kupitiwa upyaa adhabu za kifungo.