Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.


Una maana wale waliokuwa wakijinasibu zaidi kwa uzalendo wao uchwara?

😁😁

Hiiiiii bagosha!
 
Sawa ila Magufuli alikuwa kichaa
 
Katiba mpya ni muhimu kwa maisha ya sasa.
 
Kitakuwa ni kiburi au hamasa na ujasiri wa kuibua maovu?
 
Serikali na Takukuru washasema hawana haja naye.
Hiyo ni nusu picha , kuna baadhi ya watu waneza kuwa na kesi naye ,hata sabaya amepata hukumu hiyo kwa makosa amabayo serikali si mlalamikaji.
 
Umeyajua haya baada au kabla Sabaya hajafungwa?
 
Which is a good thing

Cheo ni dhamana
 
Baba yake Sabaya alisema wafungwe walime usiku na mchana na wale wavivu wapigwe mateke! Hili suluhu ya gharama ya kuwalisha. Wacha mtoto akatekeleze maagizo ya baba kwa vitendo.
 
Sitaki Sabaya awe huru, kapata haki yake. Hofu yangu ni watu kuanza kuwaandama viongozi wa umma kwa kuzusha tuhuma kwa chuki binafsi.
Ni kazi ya mahakama huru kupima ukweli au uongo wa tuhuma zozote zile. Usiwe na wasiwasi mkuu. Kikubwa ni mahakama iwe huru.
 
Kesi yoyote kabla mtu kuhukumiwa inaanzia kwenye tuhuma,upelelezi ndo mtu anakuja kuhukumiwa..so kama kweli itajulikana na kama si kweli itajulikana.
Zinaze hizi
1.Maiti kwenye viroba
2.Kuuliwa kwa akweli ifufuliwe upya
3.Kupigwa risasi tundu lisu
4.Ben saa8,Azory
5......
6......
Shida ni kuwa tuhuma hizo zitakuwa za kweli?
 
Kwani huyo sabaya tuhuma zake zilianza kuibuliwa baada ya meko kufa?au ikitokea leo bashite naye akapelekwa mahakamani watu wanaweza shangaa kuwa anaonewa?kwenye maisha haya huwezi kuzui mtu yoyote kukuibulia kesi kama amedhamilia, ndio maana sheria inahitaji ushahidi usioacha shaka, ili kumtia mtu hatiani!!!yaani mimi kama nakuchukia wewe niibuke tu, basi kesi zisingetosha mahakamani!!Jinai haina kikomo, wewe ukiwa na cheo ukatesa watu,na ushahidi ukakusanywa ni suala muda tu, hata kama mteule wako anakulinda kwa wakati huo, ipo siku tu.na ndio maana kwa awamu wa 5, kuna watu waliwaambia jamani huyo anayewaamulisha ana kinga, kikatiba, ila nyie wengine ipo siku mtajibu tu!!!mfano yule comedian Chalamila, si unaona licha ya kupigwa chini sasa nani ana muda naye, yupo na maisha yake yenye amani tu, tena tulizoea viongozi wengi kuwa na tuhuma, za ufisadi lakini hili la ujambazi wa kutumia siraha ni jipya kwetu kwa DC?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…