Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.

Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.

Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mjane anasemaje kuhusu habari hii?
Ukimwi ni Tatizo sana,kwenye polygamy system!
 
Tundu Lissu anawavua nguo mawakili wa Serikali huko mahakamani! Wee Kenge wa Samia unafuatilia?
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.

Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.

Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hapo umekosea sana.

Lissu haujamuelewa msikilize anachosema.
 
ni muhimu zaidi kuzingatia ukweli mtupu kwenye hoja mahususi mezani gentleman na itapendeza zaidi.

hayo mengine ni zilipendwa 🐒
 
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.

Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.

Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwaiyo kesi za kisiasa zitakuwa za uhaini kuanzia siku ya hukumu hiyo si ndio?
 
Gentleman,
huenda hiyo ni hoja mpya juu ya hoja mahususi mezani, right?

Maana mimi sijazungumzia uhaini popote kwenye hoja mahususi ya msingi mezani, sifahamu umeitoa wapi hiyo 🐒
 
Unafikiri hukumu hasa kwa kesi international kama hii inayofatiliwa unatoka toka kizembe tu,? Yaani mpaka hapa hana kesi bali wana bwabwaja tu..
 
ok gentleman,

but nadhani muhimu zaidi ni kwamba,
as we are going forward,
wanasiasa na waTanzania wote, wataiheshimu na kuitii katiba ya Tanzania bila shuruti.

kweli si kweli? :pedroP:
 
Wamekulipa shingapi leo?
 
Wamekulipa shingapi leo?
Gentleman,
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, ni kazi ya kizalendo isiyohitaji malipo yoyote yale, bali Neema na Baraka za Mungu tu zatosha 🐒
 
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.

Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.

Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Hakuna kesi ya kijinga kama hii. Makama badala ya kufuata sheria na badala yake kufuata machawa walamba wanzanzibari watakao fungwa wengi huko mbele watakuwa wana CCM maana wanaropoka kila siku na mashehe wao fake
 
Back
Top Bottom