Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
Gentleman,Hakuna kesi ya kijinga kama hii. Makama badala ya kufuata sheria na badala yake kufuata machawa walamba wanzanzibari watakao fungwa wengi huko mbele watakuwa wana CCM maana wanaropoka kila siku na mashehe wao fake
unadhani ukijifanya mjinga au mwendawazimu kwa kutibua minywele ndio utaachwa bila kuchukuliwa hatua za kisheria endapo utakiuka sheria?
Nadhani jambo la maana zaidi ni kwamba,
wanasiasa na waTanzania wote sasa, wataiheshimu na kuitii katiba ya nchi bila shuruti. Na hilo ndio la muhimu zaidi ya hiyo mihemko useless jukwaani 🐒