Mjane anasemaje kuhusu habari hii?Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.
Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Hapo umekosea sana.Na,

jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila mihemko wala makasiriko na itapendeza zaidi gentleman πUlizaliw kwenye ndoa za mkeka ?
nadhani hii haihusiani na hoja mahususi mezani, right?πTundu Lissu anawavua nguo mawakili wa Serikali huko mahakamani! Wee Kenge wa Samia unafuatilia?View attachment 3677092
Kwaiyo kesi za kisiasa zitakuwa za uhaini kuanzia siku ya hukumu hiyo si ndio?Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.
Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Kwaiyo kesi za kisiasa zitakuwa za uhaini kuanzia siku ya hukumu hiyo si ndio?
ok gentleman,Unafikiri hukumu hasa kwa kesi international kama hii inayofatiliwa unatoka toka kizembe tu,? Yaani mpaka hapa hana kesi bali wana bwabwaja tu..
Wamekulipa shingapi leo?ok gentleman,
but nadhani muhimu zaidi ni kwamba,
as we are going forward,
wanasiasa na waTanzania wote, wataiheshimu na kuitii katiba ya Tanzania bila shuruti.
kweli si kweli?
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.
Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ni ukweli umeongea ama ni porojo tu?Gentleman,
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, ni kazi ya kizalendo isiyohitaji malipo yoyote yale, bali Neema na Baraka za Mungu tu zatosha π