Gentleman,Hakuna kesi ya kijinga kama hii. Makama badala ya kufuata sheria na badala yake kufuata machawa walamba wanzanzibari watakao fungwa wengi huko mbele watakuwa wana CCM maana wanaropoka kila siku na mashehe wao fake
Malipo magumu brazajikite moja kwa moja tu kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila mihemko au porojo useless jukwaani na itapendeza zaidi π
nadhani ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kujivika unabii fake na kuhubiri mambo tofauti kabisa na hoja mahususi mezani.uzuri duniania tunapita hata wewe utakufa simple ndo dunia yote unayofanya na kutenda pesa mali vyote utakufa nakuviacha wanakuzika ba sanduku tu
Unakuwaga na hoja mahusisi wewe toka lini?Gentleman,
huenda hiyo ni hoja mpya juu ya hoja mahususi mezani, right?
Maana mimi sijazungumzia uhaini popote kwenye hoja mahususi ya msingi mezani, sifahamu umeitoa wapi hiyo π
Tundu Lissu hatakuwa MTU wa Kwanza kuuawa bila hatia.Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.
Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Tundu Lissu hatakuwa MTU wa Kwanza kuuawa bila hatia.
Mmeuwa wengi Sana Mfano Kibao, Polepole, watanganyika 518, mmeteka wengi na kuwauwa na bado mnaendelea kuua!
Huyo Lissu ongezeeni kwenye wake 518 wawe 519.
Mdude na wote msiowataja mmeuwa.
Sasa ajabu ya kumuua Lissu ni nini ?
Nchimbi Yuko wapi?
ikiwa ni hivyo,Unakuwaga na hoja mahusisi wewe toka lini?
We uharo, Siku msako unaanza, ndipo utajua nani ni mtu na nani ni loose end. Hao unaoshirikiana nao leo, kesho hawatakuacha salama.relax ndugu muerevu with pointless comment na itapendeza zaidi π
hapana, sijui chochote,Ni kama tayari unaijua hukumu yake
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman, hakuna haja ya kumbwelambwela porojo useless jukwaani,We uharo, Siku msako unaanza, ndipo utajua nani ni mtu na nani ni loose end. Hao unaoshirikiana nao leo, kesho hawatakuacha salama.
Ni kwa sababu CCM wote ni madebe matupu ila wewe hata elfu mbili tu ile ya siku usingeweza kupataikiwa ni hivyo,
si uende huko kwenye majukwaa yenye hoja mahususi muhimu zaidi ya iliyoko mezani na itapendeza zaidi, kuliko kumbwelambwela vitu useless na kujipiga kifua jukwaani with pointless comments?π
Wewe ni chawa mjingaNa,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za kimkakati zenye agenda na nguvu ya hoja na hivyo kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote. Vibaraka, vibaka na vibwengo wa kisiasa nchini, watatambua sasa, kwamba siasa ni sayansi na sio kubwekabweka tu porojo za kuchochea ghasia, uharibifu na maafa.
Una maoni gani kuhusiana na jambo hili la maana sana kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni very common internet trolljikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman, hakuna haja ya kumbwelambwela porojo useless jukwaani,
plz kama uko pointless, kaa kimya tu na itapendeza zaidi π