Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

Wewe ni chawa mjinga
muerevu plz,
be smart na ujikite kwenye hoja mahususi mezani bila mihemko wala makasiriko na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani, okay?πŸ’
 
ni muhimu sana gentleman,
bila kuhamisha mjadala,
ukatoa maoni na mtazamo wako dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi,

hii ya kujaribu kuhamisha mjadala mahususi na kumbwelambwela pointless na vitu useless inaweza tu kuexpose kwamba wewe ni kibwengo mvamizi katika sayansi ya siasa, huku ukidhani siasa ni porojo tupu

make politics doesn't confuse your life in general πŸ’
 
Umegoma kabisa kulinda mgongo wako?
 
Umegoma kabisa kulinda mgongo wako?
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman na itapendeza zaidi na ikiwa uko pointless kaa kimya tu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…