Umenena vyema,Nyerere alitaka kuwa Padre,akazuiliwa na askofu mzungu,akaletwa kwenye siasa,akapewa nchi na wazungu baada ya special branch(idara ya mkoloni) kumpenyeza kwenye chama cha waswahili chenye nguvu
Ccm ilipofikia ni hatari, kwenye hicho kinachoitwa uchaguzi wa wagombea ni mashindano ya kununua uongozi basiNajua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Umenena vyema,
Vivyo hivyo Polepole, Gwajima, Mpina and the like,
Wameshikwa mkono na wanapewa nguvu kufanya regime change.
Ahsannte 🙏
Umeanza mwanzo?So ndo hiyo tu? 😂Mbona fupi jmn?
uvumilivu hana, ni rahisi kuondolewa mchezoni.Hawatatoboa trust me...SAMIA kumtoa labda wamuue kama mwendazake.. otherwise mama tunae mpaka 2030
Nampenda sana polepoleNajua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Mimi naishangaa serikali ,kwa nini inatuletea shida kwenye mitandao kila mara pole pole anapotaka kuongea?Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Anapiga nyundo kushoto kulia, chini, katikati na juuPole Pole anakabia juu kabisa vegetables viungo na beki zimekatika kabisa wanashindwa kuzuia mashambulizi 🤣🤣🤣
Hii series ya Polepole inavutia kufuatilia..iko post ya kwanza kabisa
Amewapata wapumbavu wa kumfuatilia, nyumbu wa chadema. CaCM wamemkaushia kimyaaa!!
Ww ndio una mpangia!!??Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
HapanaWw ndio una mpangia!!??
CCM hawana uwezo wa kujibu hizi hoja. Sasa hivi wanachofikiria ni jinsi ya kumfikia physically ili wamalizane naye kijambazi kama ambavyo wamezoea kufanya!Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
sema tumempata mfokonyoajiMimi CCM namfuatilia ana mwaga madini. Angalau sasa CCM tumepata mwongeaji mwenye akili