Humphrey Polepole aomba ukumbi wa LHRC afanye mkutano na waandishi wa habari Desemba 11

jibu unalo mkuu,hukuona Hadi baadhi ya wabunge wenzie wakawa wanamnanga kisa jamaa,hajapepesa macho kasimamia anachoamini na kinachompa faraja hata uraiani!! msimamo humpa mtu heshima !!
Anaamini nini?
 
Umetoka nje ya mada chief!!! Umesoma hata kiliachoandikwa? Mama anaingiaje sasa hapa?
 
Si anawalipa? Mbona kumbi zipo nyingi tu acha kupotosha!
 
Hivi huyu jamaa kwanini wanamchekea chekea? Serikali ya "mama YENU" dhaifu hii.
 
Umetoka nje ya mada chief!!! Umesoma hata kiliachoandikwa? Mama anaingiaje sasa hapa?
Nimetoka nje ya mada au wewe ndio umegoma kutoka nje ya box?

Kwanini CCM chini ya mwenyekiti wenu msimpe huo ukumbi?
 


Ni Hamphrey Lepo lepo??! 😱
 
Unauhakika kuwa alikuwa na mkakati huo??!! Unafiki mbaya kujana
 
1. MADA: Humphrey Polepole ameomba ukumbi pale LHRC ili azungumze na Waandishi wa Habari.
2. MADA MIX: Polepole kaenda kuomba hifadhi kwa wale wale aliokuwa anashiriki kuwakandamiza enzi za Mwendazake!
3. MCHANGIA MADA: Kumbe Rais Samia nae hataki kupingwa!!

OMBI LANGU: Wana-JF ambao wenzangu ni ma-GT, naomba mnisaidie kuelewa hapa manake nimeshindwa kuona uhusiano wowote!!
 
acha kuropoka usichokijua, polepole kamzuia nani kuropoka ujings wake ambao alikuwa anashangilia watu walivokuwa wanaokotwa kwnye viroba?? kuna mtu amemfungia kutumia jukwaa lake la kujaza waru ujinga??mama hana ushamba wa madaraka kama wasukuma waleeeee, ingekuwa hivo huyo polepole /bashiru na genge lao wangekuwa jela au uhamishoni au wangekuwa washatolewa bastols kama walivomtolea Nape... aache kutapatapa
 
Uwe unaandika reasonable fact, sasa nani alikuambia Polepole alitaka kuua mashirika hayo? Alikuwa katibu mwenezi wa chama, huo uwezo wa kuzuia mashirika aliupata wapi? Msiandike kishabiki, muacheni mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…