Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawa credibility ina wahusu au ni pole pole tu?Pole sana Pole pole nilishauri humu ni kheri ungekaa kimya maana credibility yako ni zero kwasasa watu wakiangalia record zako hapo awali na unavyojitutumua sasa hivi wanakupuuza tuu...kaa kimya ukimya wako ni wa thamani kuliko kuongea ongea.
Hawa mimi hawanihusu ni wakina nani kwani? 🤣 🤣
hahaha!!! Hao ni wanaufipa kabla ya kurushiwa mfupa uliomshinda fisi.Hawa mimi hawanihusu ni wakina nani kwani? 🤣 🤣
Wote hao ni magaidi. Chaga gangsters.
Eheee LHRC? Polepole?Dunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao, kesho kaomba ukumbi afanye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Kuwa uyaone, si maghorofa, hana tena fursa ya kutamba katika kumbi za ofisi ndogo Lumumba wala Dodoma, anaombeleza kumbi kwa watu aliowatangazia uadui.
hujasema uongo huyu mtu alikua obsessed na magufuli sana hadi akawa kipofu kuona maovu ya jiwe akiwa anafurahia mateso kwa wengine pamoja na kujipatia fedha nyingi ya chenji wakati wananunua wabunge wa upinzani yeye na bashiru kwa sasa hawko sawa kichwaniKinachomuumiza leo Polepole ndio mbegu aliyoipalilia wakati wa Magufuli. Kisu alichokinoa ili kuumiza wapinzani sasa ndio kinamkata yeye. Wala usidhani hatujui tunasimamia nini. Mtu yoyote aliyefanikisha utawala wa mabavu wa Magufuli, hata kama anaonewa tutafarijika, na wala hatuungani na Watesi wetu kuwaunga mkono, bali tunafurahia muosha akioshwa. Kwa taarifa yako huyo Polepole hata aje na hoja ya msingi, sio rahisi kupata uungwaji mkono tena kwa wapenda haki, kwani ni mtu anayetaka huruma ya watu baada ya kukosa ulaji. Hakuna mtu atatumika na muhuni kama hiyo Polepole.
Naunga mkono hoja. Nikimwangalia Pole Pole, na kumsikiliza kwa makini in between the lines, namuona Nyerere!.huyu jamaa namkubali sana.mtu mwenye msimamo NI heri,kuliko Yule ambae ana siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice).