ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ila pole pole mwanaume, hata Kama ni mnafiki Ila wenzie ndo wanafiki zaidi kina nape, ummy, etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu asaliti msimamo wake kuhusu katiba mpya amekuwa sawa tu na wagangaji wengine! Ameshiriki maovu mengi sana enzi za ' mtukufu' jiwe[emoji3]huyu jamaa namkubali sana.mtu mwenye msimamo NI heri,kuliko Yule ambae ana siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice).
Yaani Polepole ana misimamo?! Hivi Humphrey wa Bunge la Katiba ndo Humphrey yule yule aliyekuwa DC na hatimae Katibu Mwenyezi wa CCM?!huyu jamaa namkubali sana.mtu mwenye msimamo NI heri,kuliko Yule ambae ana siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice).
Unamkemea nani sasa? Jikemee mwenyewe na mkurupuko wako! Hakuna popote Polepole kazuiwa kufanya hiyo press yake, yeye mwenyewe kaamua kuchagua hiyo sehemu aliyochagua! Hata kwenye tweet yake kaandika hivyo! Naona uliposoma kichwa cha habari na kuona neno "hifadhi" ukakurupuka tu na mgazetiNdio umejigeuza msemaji wa nani sasa? Samia au?
Rudi kule juu soma kila nilichoandika uelewe, usikimbilie kuni quote tu, unaoleta hapa ndio ushabiki nilioukemea kule juu.
askofu majalala mwamakula au Nani mkuu!!Hivi Askofu amepotelea wapi
Kumba mama nae hataki kupingwa, naona ile kauli yake hatakubaki makosa ya awamu zilizotangulia atupiwe yeye imeanza kufanyiwa kazi kwa vitendo, akiongea na majirani anawalegezea sauti, akirudi kwa wapinzani wake ndani anawatumia wahuni kuwawinda.
Kama ofisi ya urais imemshinda vyema airudishe kwa watanzania kwa wenyewe uitishwe uchaguzi mkuu mwingine maisha yaendelee, Polepole anatumia haki yake kisheria kutoa maoni yake anatakiwa kujibiwa kwa hoja sio vinginevyo.
Naona wengi mnamsema Polepole badala mjiulize atakaefuatia kuwindwa atakuwa nani, alianza Mbowe, leo Polepole, kesho atakuwa nani? ajabu ushabiki umetawala vichwa vya wengi, hapa habari sio sukuma gang vs msoga au Chadema, hao wote ni watanzania, msitengeneze makundi ya kijinga ndani ya hii nchi bila kujua athari zake.
Samia ajue anajukumu la kuongoza wote kwa kufuata sheria za nchi sio kwa maoni au mapenzi yake binafsi, asitake kila mmoja ajipendekeze kwake hata kama hana sababu ya kufanya hivyo, atulie ajue namna ya kuongoza nchi.
Sio atuambie yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike, haya maneno yalitakiwa kutumika enzi za wakoloni, asishindane na wasioshindana nae wala asitumie mamlaka yake kuumiza wengine kwa vitu vidogo.
Mkuu.Humphrey Polepole a.k.a Bushman from GODS MUST BE CRAZY ame loose dignity
Huyu ni Mr. Maslahi Binafsi!! Alikuwa anaongea sana wakati wa JK kwa sababu hakuwa kwenye meza ya chakula lakini alipokaribishwa mezani na Magu, akasiliti misimamo yake yote na kuja kuibuka wakati wa SSH baada ya kupokonywa tonge!Ila pole pole mwanaume, hata Kama ni mnafiki Ila wenzie ndo wanafiki zaidi kina nape, ummy, etc
Vieite yake atakwenda nayo!!? Nataka nikaishangaeDunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao,kesho kaomba ukumbi afanye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Kua uyaone, si maghorofa, hana tena fursa ya kutamba katika kumbi za ofisi ndogo Lumumba wala Dodoma, anaombeleza kumbi kwa watu aliowatangazia uadui.
huyu jamaa namkubali sana.mtu mwenye msimamo NI heri,kuliko Yule ambae ana siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice).
Yupo anatokota kwenye chungu kama makande, laana ya kumgeuka Mzee Warioba na kusema ile rasimu haikuwa ya tume ila ya Warioba na jamaa zakeHuyu ni Mr. Maslahi Binafsi!! Alikuwa anaongea sana wakati wa JK kwa sababu hakuwa miongoni mwa wenye ulaji lakini alipopewa ulaji na Magu, akasiliti misimamo yake yote na kuja kuibuka wakati wa SSH baada ya kupokonywa tonge!
Huyo Nape nadhani mnajisahaulisha tu!! Nape alipishana na Bashite huku akifahamu wazi kwamba Bashite ni Mtoto wa Mfalme!! Pamoja na hayo, Nape akaunda tume ya kumchunguza Mwana Mfalme. Wakati Nape anaunda tume kumchunguza Mwana Mfalme, JPM akamuita Makonda kwenye event moja pale Ubungo (siikumbuki vizuri) na akapewa Jukwaa na Rais!! Hatua ile ya Magu kutoa jukwaa kwa Makonda wakati ameundiwa tume ilikuwa ni ujumbe tosha kwa Nape dhidi ya Golden Boy lakini bado Nape akaendelea na msimamo wake wa kukumchunguza Makonda! Na hata ukisoma tweets za Nape siku chache kabla ya kufutwa kazi, inaonesha wazi alishafahamu messing with Golden Boy would make him lose his job!!
Hizo tweeets ni za March 21, na March 22 akapokea ripoti ya tume aliyounda na akaisoma hadharani! March 23, akatumbuliwa!!! Sikubaliana na Nape kutokana na misimamo yake kisiasa lakini kusema Polepole ana misimamo kuliko Nape, hapana mzee! Polepole ndo kubwa la Manafiki!! Yule leo akipewa cheo, utamshangaa!!
Dunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao,kesho kaomba ukumbi afanye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Kua uyaone, si maghorofa, hana tena fursa ya kutamba katika kumbi za ofisi ndogo Lumumba wala Dodoma, anaombeleza kumbi kwa watu aliowatangazia uadui.
Mamlaka zimdhibiti huyu kunguru mapema.Dunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao,kesho kaomba ukumbi afanye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Kua uyaone, si maghorofa, hana tena fursa ya kutamba katika kumbi za ofisi ndogo Lumumba wala Dodoma, anaombeleza kumbi kwa watu aliowatangazia uadui.
Anapaswa kuzuiwa...Ana haki ya kutumia sehemu yoyote ya Tanzania ili mradi havunji sheria. Tabia ya kijinga aliyokuwa anashabikia Watanzania wenzake kuzuiwa kutumia Uhuru wao kutoa maoni anapaswa aachiwe ili aone madhara ya ujinga aliokuwa anafanya.
Yaani jamaa alikuwa nusu waziri mkuu, nusu makamu wa rais, robo rais!!Yupo anatokota kwenye chungu kama makande, laana ya kumgeuka Mzee Warioba na kusema ile rasimu haikuwa ya tume ila ya Warioba na jamaa zake
Wimbo wa Samba Mapangala ni somo.Dhambi aliyofanya itaendelea kumtesa daima. Tujali utu wa wenzetu duniani tunapita tu