Humphrey Polepole aomba ukumbi wa LHRC afanye mkutano na waandishi wa habari Desemba 11

Pole sana Pole pole nilishauri humu ni kheri ungekaa kimya maana credibility yako ni zero kwasasa watu wakiangalia record zako hapo awali na unavyojitutumua sasa hivi wanakupuuza tuu...kaa kimya ukimya wako ni wa thamani kuliko kuongea ongea.
 
Kwa sasa jamaa anapitia nyakati ngumu sana kwenye harakati za kisiasa nchini... kama vile ni mpinzani
Ila inabidi ajifunze ya kuwa mfumo umebadilika kwa kasi hii siyo mfumo wa ujamaa.. hii ni capitalist, magufulisim ilikuwa ni ujamaa mufu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apewe choo ajisaidie akimaliza afanye press conference yake.
Huyo alikuwa bonge la chawa max pro kwa mwendazake.
 
Pole sana Pole pole nilishauri humu ni kheri ungekaa kimya maana credibility yako ni zero kwasasa watu wakiangalia record zako hapo awali na unavyojitutumua sasa hivi wanakupuuza tuu...kaa kimya ukimya wako ni wa thamani kuliko kuongea ongea.
Na hawa credibility ina wahusu au ni pole pole tu?

 
kwanini wale jamaa wasimbinye mapumbu huyu atulie.
CCM imerudi kwa wenyewe
 
Eheee LHRC? Polepole?
huyuhuyu akuyetaka kuyafuta mashirika ya aina hii? Kweli usitukane wakunga uzazi ungalipo?
 
hujasema uongo huyu mtu alikua obsessed na magufuli sana hadi akawa kipofu kuona maovu ya jiwe akiwa anafurahia mateso kwa wengine pamoja na kujipatia fedha nyingi ya chenji wakati wananunua wabunge wa upinzani yeye na bashiru kwa sasa hawko sawa kichwani
 
huyu jamaa namkubali sana.mtu mwenye msimamo NI heri,kuliko Yule ambae ana siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice).
Naunga mkono hoja. Nikimwangalia Pole Pole, na kumsikiliza kwa makini in between the lines, namuona Nyerere!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…