Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Kama hii habari ni ya ukweli hii ni hatari sana. Jeshi inabidi kuingia kazini kutekeleza majukumu yake mara moja kuwathibiti Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Mombo na Mafwele.
Mafwele ni kifaa tu, unachoweza hata wewe kwenda kukiondoa kazini. Hastahili kuwa kwenye hiyo orodha.
 
Hii dawa mpya, inafanya kazi vizuri; nakusihi usiache kuendelea nayo.

Nimeona mabadiliko madogo ya kutia matumaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…