Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Huko Cuba hakujifunza haya Yote?
 
I don't think...

Huyu ndugu wa Polepole mpaka atoe na siri kuwa ndugu yake ana chips mwilini mwake inayomwezesha kum - trace popote alipo..???

NO WAY. Huu ni mtego tu wenye nia na lengo fulanI..

Ni mbinu ya kijasusi kutuliza mawimbi yaliyoletwa na Captain Tesha...

Huyu anayejiita kaka wa Polepole mwenyewe kiumri na kisura anaonekana ni mdogo kuliko Polepole mwenyewe...!

🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻ulongo huu...🫣
 
Mimi kuna kitu nakiona, ila hakionwi na wengi.... Pole pole hakuwa peke yake.... Wakuu waliomhakikishia usalama na kumlinda polepole akiwa hapa hapa nchini...hawa hawa wanamfatilia alipo kwa sasa!...

Na CCM Wamefanya kosa kumkamata...wametengeneza entry point....! Nina imani hatufiki October 29....nchi itakuwa na uongozi tofauti!

PENGINE HATA MASAA 48 /72 HAYATAPITA! kwa kile nnachokiona fikrani mwangu.
 
Majizi ya Ccm hayapendi kuambiwa ukweli, ila hata kukaa upande wa wananchi hawa wa Tz ambao ni wanafiki na waoga kama nyumbu pia inatakiwa uchukue tahadhari sana.

Ikiwezekana usikae hapa ndani ya nchi, maana raia hawa wanafiki na waoga kama nyumbu mtandaoni watakuunga mkono kwa comments na likes nyingi ila hawa watawala ikiwa wataamua wakuteke basi wananchi hawatachukua hatua yoyote kuonyesha hawajaridhishwa, hawawezi hata kuandamana, hawapo tayari kudondoka hata tone moja la damu kwaajili yako ila wao wanataka shingo yako ikatike kwaajili yao.

Ndo maana mimi kila siku nagombana na hawa keyboard warriors wa Jf huku mtandaoni mikwara mingi ila ndo hawa walikua wanamshabikia Lissu leo kakamatwa mwezi wa 6 gerezani ila hawajawahi hata kutoka nje kwaajili yake, ndo hawa hawa hawajatoka kwa , Soka wala Mdude, na ndo hawahawa walimuacha Mbowe atoke peke yake barabarani.

Kwahiyo kabla hujaingia vitani inabidi ujiridhishe kama unaweza kuishinda hiyo vita na kila alienyuma yako yuko tayari, usiende vitani na kundi la wanafiki nyuma yako hiyo utakua umejitoa kafara, na kama uko tayari kwa lolote basi chukua tahadhari ya usalama wako kwa kukaa mbali na nchi kwanza.

Huu ndo ukweli japo unaumiza ila ni dawa.

Carbon Copy: iende kwa Lamomy
Cc: JF keyboard Warriors.
 
I don't think so..

Huyu ndugu wa Polepole mpaka atoe na siri kuwa ndugu yake ana chips mwilini mwake inayomwezesha kum - tracked popote alipo inaingia akilini kweli..???

NO WAY. Huu ni mtego tu wenye nia na lengo fulanI..

Ni mbinu ya kijasusi kutuliza mawimbi yaliyoletwa na Captain Tesha...

Huyu anayejiita kaka wa Polepole mwenyewe kiumri na kisura anaonekana ni mdogo kuliko Polepole mwenyewe...!

🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻ulongo huu...🫣
 
Wacha tuone wana Ccm wenzake kama watamsaidia na kupaza sauti

Huu ni ugomvi wangu nakuomba Ccm vs Ccm sion haja ya kuangaika nao sana
Kwanza uyo jamaa alikua msemaji wa chama kipindi cha magufuri si kwa imani yangu atakua ametengeneza connection za ndani ya chama na atakua na watu wenye nguvu ndani ya serikal na chama sasa ni zamu ya izo connection zake kufanya kaz
 
Kama ni kweli alikuwa akiishi Tanzania wakati wote huu basi nilikuwa nakosea sana kumuona ana akili.

Unawezaje kuongea mambo mazito vile na upo ndani ya Tanzania?
​
 
Kama hii habari ni ya ukweli hii ni hatari sana. Jeshi inabidi kuingia kazini kutekeleza majukumu yake mara moja kuwathibiti Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Mombo na Mafwele.
Ulitegemea nini mtu anayeleta fitna kuleta maafa nchini? Wazee wamepewa kibano wamemtaja yupo wapi ndio maana ya usalama wa taifa, ukiwa unapiga kelele kila siku kipindua nchi haya ndio matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…