Nyie wajinga mtapata lini akili???
Rais akikosolewa mnaenda kujificha kwenye mwavuli wa dini ya Rais!!! mi upumbavu wa hali ya juu,jibuni hoja.
Mwambieni huyo mama akachukue fomu,, anaogopa Nini??
Hujamsikia akisema chama kwanza mtu baadae? alilalamika uteuzi ndani ya CCM. Huo sio uchaguzi?. Polepole hajawahi kusikia watu habari za takrima, wajumbe wabaya, kukatwa, nk kwenye chaguzi za CCM? . Yaani anataka kuwashawishi watu kuwa mambo yote hayo hayakuwepo huko nyuma ila yamekuja na Samia. Ni wajinga wa waziwazi hawa.Kwani Polepole kaongelea uchaguzi??Kuna sehemu kasema mambo ya chaguzi??Mbona kama wewe unajitekenya mwenyewe, jiwe limerushwa gizani, naona mnaanza kutoa milio.
Subiri kuna mwenzako atakuja kuongelea utekaji, mwingine wizi wa pesa za uma na ufisadi n.k Mtaibuka wote kila mtu na kitengo chake
Issue ya Polepole ni ndogo sana na haina impact yeyote kwa siasa za Nchi hii !Kila mtu anaekosoa serikali anajihusisha na Mungu, Mungu, Mungu kila mmoja. Polepole nae ameangukia kwenye mtego huohuo. Ukishalijua jina la mbwa umeshatatua 70% ya tatizo la kuzuia kung'atwa na mbwa huyo. Udini, uzanzibar, udini, uzanzibar, udini, uzanzibar, waarabu, waarabu, waarabu, udini, uzanzibar. wanajirudia humohumo na palepale.
Kila kitu, malalamiko, dukuduku, ukoaji lazima ujikite kwenye katiba. Je, kuna kitu kiko nje ya katiba ya Jamhuri au ile ya CCM? Polepole anasema anajiuzulu kwa sababu ya UTAMADUNI wa CCM kukiukwa, Utamaduni ni nini? utamaduni ni utamaduni tuu. Yaani mtoto asipokuamkia shikamoo lakini akaonyesha ishara nyingine ya kukuheshimu kama vile kuinama, kuchuchumaa, kugalagala au kushika kichwa chako utasema amekosea sana na kuchukua kiboko umpige? Polepole ana jambo lake sawa na wale wengine akina naniliu.
polepole hana issue, CCM ni ileile oo ni ileileee. Polepole anadhani CCM inashinda chaguzi miaka kihalali kabisa?Issue ya Polepole ni ndogo sana na haina impact yeyote kwa siasa za Nchi hii !
Kwanza ni vyema ikaeleweka URais ni Taasisi !
Sio rahisi kuitingisha hiyo Taasisi 😳 !
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Wrong timing. Dunia yote Iko Gaza na Ukraine. Wanakufa sana huko hawana khabari na watu waliovimbiwa na misosi kwenye amani. Kule Gaza watu wanauawa na majeshi ya Israel wakati wako kwenye msululu wa kupata chakula.Hujashtuka na ukaja kuweka bandiko hapa mwashamba asome? Nani anajitekenya sasa yeye au wewe?
Kesho mtapoteana enyi simbilisi wa lumumbaTangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Kaka Kuna wenzetu wanazo ajenda zao lakini hawatuambii ili nasi ama tuungane nao ama tukatae. Inawezekana Kuna kitu kikubwa wanakijua lakini wanzunguuka mbuyu tu hawakisemi kuhusu hii awamu.Nimesoma hili bandiko lako nikajiskia huzuni kubwa moyoni
Lucas Mwashambwa kajibu hadi baruaTangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Kitu ambacho Hawa wapinzani hawakijui ni kudhani wazungu hawajui kinachoendelea nchini tangu tupate Uhuru. Wanadhani wazungu hawajui CCM inafanya nn kusalia madarakani tangu Uhuru.Polepole ni kichwa pumbu....
wapumbavu kama wewe ndio hukimbilia kuita kitu udini wanapoona wameshindwa hoja. sijawai kuona mtu mjinga kama wewe kwa kweli.Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Loyalty starts at home.Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Msikilize Humphrey, anamtaja Mungu Kila wakati kinafiki kabisa. Wakati Lissu anapigwa risasi na waliompiga hawajakamatwa hadi Leo yeye alikuwa Katibu mwenezi CCM. Huyo Mungu wake alikuwa wapi asijiuzulu kipindi hicho? Dini inatumika kama kichaka cha sukuma gangwapumbavu kama wewe ndio hukimbilia kuita kitu udini wanapoona wameshindwa hoja. sijawai kuona mtu mjinga kama wewe kwa kweli.
Clarify!!!Loyalty starts at home.
If a man can’t be solid with the woman in his bed,
he’ll crumble under pressure in the streets.
Your word means nothing if your actions don’t hold weight.
Honor isn't selective—it’s a lifestyle.