Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Allah ndiyo aliwapiga picha?Hii picha hapo Chini ni ya watoto wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain. Imam Hussain aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Waliposikia tu habari baba yao kuuwawa kikatili walitimua mbio huku wakilia. Yani ni simanzi siku ya Ashura.
View attachment 3406308
adriz Covax
Hapo ndiyo umejibu hoja za polepole. Ccm bhana! Sasa udini unaingiaje hapa? Kwani Tanzania haijawahi kuwa na raisi muislam? Alijipitisha mwenyewe kugombea?Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Bado kajitekenya na kucheka mwenyewe?Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Kaka Humphrey ni kengele tu ambayo inalia baada ya kugongwa. Kuna watu wanaoigonga hiyo kengele ambao ni waoga hawataki kuonekana kwenye mwanga. Huwezi kulazimisha desturi kuwa sheria. Desturi inatumika pale tu inapompendeza yule anaeitumia. Kama Kuna mtu anataka always uteuzi wa wagombea uwe mwezi June basi kifungu hicho ashauri au kulazimisha kuwepo kwenye katiba mama ya CCM.mimi siyo mvaa makobazi usiletee habari zako za kubinua makalio hapa, sijui na sihitaji kuzijua
Newton amesema kuwa kila kwenye reaction Kuna equal resistance inayokwenda kwenye opposite direction.Hapo ndiyo umejibu hoja za polepole. Ccm bhana! Sasa udini unaingiaje hapa? Kwani Tanzania haijawahi kuwa na raisi muislam? Alijipitisha mwenyewe kugombea?
Hoja ni kwamba utaratibu wa ccm kumpata mgombea ulikiukwa! Badala ya kujibu hoja wewe unakatika mauno huku ukitaja UDINI kama hayawani??
Tatizo la Humphrey amejikweza sana, amesahau kuwa hata Oscar Kambona alikuwepo kwenye harakati za kujenga TANU na kuleta Uhuru lakini alitimuliwa na Mwl Nyerere na kuishia kuwa mkimbizi uingereza.Bado kajitekenya na kucheka mwenyewe?
Yaani wajumbe wooooooote wa Mkutano Mkuu wa CCM hawana akili kuliko Polepole. Common sense anaagiza kumuona mtu kama huyo ni mwenye shida ya akili. Yaani wajumbe wote kwenye mkutono wameshindwa kugomea Samia na Nchimbi wasiteuliwe kuwa wagombea; basi hicho sio chama kama mtu mmoja (polepole) tu ndiye mwenye akili ya kujua zuri na baya. Na kama kulikuwa na watu wengi ndani ya mkutuno mkuu ambao idadi yao ingetosha kupinga uteuzi lakini walikaa kimya basi chama hicho kina walakini, vinginevyo polepole ajitafakari au ndugu zake wamnasihi aende akatibiwe haraka.Bado kajitekenya na kucheka mwenyewe?
Jiandaeni kwa 2030, huyu Mama ni project ya mwenyeziMungu mwenyewe, na ni pilot study ya dunia kwa viongozi wanawake ambao kwa miaka mingi wanaume na wanawake walishindwa kuwaamini kwa kiwango hiki. Hata Samia mwenyewe hakujua amekuaje Rais kama vile magufuli alivyokuwa anashangaa aliwezaje kuwa Rais wakati hakuwa mwanaCCM mpenda urais.Hapo ndiyo umejibu hoja za polepole. Ccm bhana! Sasa udini unaingiaje hapa? Kwani Tanzania haijawahi kuwa na raisi muislam? Alijipitisha mwenyewe kugombea?
Hoja ni kwamba utaratibu wa ccm kumpata mgombea ulikiukwa! Badala ya kujibu hoja wewe unakatika mauno huku ukitaja UDINI kama hayawani??
Project ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?Jiandaeni kwa 2030, huyu Mama ni project ya mwenyeziMungu mwenyewe, na ni pilot study ya dunia kwa viongozi wanawake ambao kwa miaka mingi wanaume na wanawake walishindwa kuwaamini kwa kiwango hiki. Hata Samia mwenyewe hakujua amekuaje Rais kama vile magufuli alivyokuwa anashangaa aliwezaje kuwa Rais wakati hakuwa mwanaCCM mpenda urais.
Kwahiyo Mkutano Mkuu haukumpitisha? Au polepole ndiye alipaswa kumpitisha?Project ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?
Pilot study ya kuua watu?
Rais mwanamke ni mbegu adimu ya dunia (world rare specie) inayostahili kumwagiliwa maji na kuwekewa mbolea ili itoe matunda na miche mingi itakayopandwa Afrika na dunia nzima. Usifikiri wewe ni rahisi kumchafua Rais mwanamke kimataifa; kwanza utajivunjia heshima wewe mwenyewe na kujitafutia anguko la kutisha. Dunia inakuona ni mwoga (coward) wa hali ya juu sana uliyeshindwa kupambana na wanaume wenzako akina Magufuli, Kikwete, Mkapa, mzee Mwinyi, Nyerere, Museveni, Kagame, Kenyata, nk. kwenye uwanja wa siasa, Kifupi kupambana na mwanamke hata majumbani na mitaani ni dalili ya udhaifu.Project ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?
Pilot study ya kuua watu?
Kumsifia mtu kwa jinsia yake ndo UCHAWA WENYEWE SASARais mwanamke ni mbegu adimu ya dunia (world rare specie) inayostahili kumwagiliwa maji na kuwekewa mbolea ili itoe matunda na miche mingi itakayopandwa Afrika na dunia nzima. Usifikiri wewe ni rahisi kumchafua Rais mwanamke kimataifa; kwanza utajivunjia heshima wewe mwenyewe na kujitafutia anguko la kutisha. Dunia inakuona ni mwoga (coward) wa hali ya juu sana uliyeshindwa kupambana na wanaume wenzako akina Magufuli, Kikwete, Mkapa, mzee Mwinyi, Nyerere, Museveni, Kagame, Kenyata, nk. kwenye uwanja wa siasa, Kifupi kupambana na mwanamke hata majumbani na mitaani ni dalili ya udhaifu.
Fanya ufanyavyo huwezi kumchafua mwanamke popote. Mwanamke hachafuki.
uchaguzi wa 2020 Magufili aligombea peke yake, na aliyetaka kugombea, Membe alinyimwa form na baadae alipohoji alifukuzwa uwanachama wa CCM na Humphrey akiwa Mwenezi wa chama. Kama Membe alihoji akafukuzwa namuona na Polepole akifukuzwa kama desturi ya CCM.Kumsifia mtu kwa jinsia yake ndo UCHAWA WENYEWE SASA
kwamba akiwa raisi mwanamke ndo asifuate utaratibu za kugombea?
Kesho utaamka na blabla za raisi muislam hapa. Kuna siku utajadili dini, kabila, urefu au ufupi wa rais nk ili tu uonekane CHAWA aliyenona kuliko wenzio
Engine ya CCM ni kubwa sana mara 10,000,000 ya engine Polepole na wenzake zikiwekwa pamoja. Kama hata wazee kama Yusufu Makamba, Membe, Msindai, Lowassa, Sumaye, Kambona, Aboud Jumbe, Maalim Sharif, G55, Malecela, Salmin Amour na wengine wengi waliwahi kukalishwa chini sembuse Polepole na wenzake. Nadhani ameamua kupima kina cha maji kwa kutumbukiza miguu yakemwenyewe. Vyama rafiki kwa CCM ni vile vyama tawala vya China, Urusi, NKorea, Cuba, Frelimo, ANC, ZANU-PF. Sijui kama anajua hivyo walahi.ACHA UONGO WEWE KUNA WATU WAMESTUKA MPAKA KUMINYA MITANDAO, YOUTUBE NA FACEBOOK KABLA YA PRESS YAKE ILIKUWA IMEZIMWA. WATU WAMEPOTEZA MAMILIONI YA HELA ALAFU UNASEMA HAJAMSTUA MTU? LABDA WEW
Tujikumbe tena namna nchi na Rais anavyolindwa. Wote hawa wameapa kuilinda nchi na Rais. Ona wakuu wa kamandi walivyo imara.Hii picha hapo Chini ni ya watoto wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain. Imam Hussain aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Waliposikia tu habari baba yao kuuwawa kikatili walitimua mbio huku wakilia. Yani ni simanzi siku ya Ashura.
View attachment 3406308
adriz Covax
Kavulatana ukuje kwa huku uone maana ya ulinzi kamili na uhu uni ulinzi na Uzalendo