Usinijumuishe,mimi sijafungwa nyororo na chama chochote ndio maana nakosoa na kupongeza kadri ninavyoona inafaa.CCM wote mnaokosa fursa ndio mlivyo, hata nape na January walitoswa na jiwe walianza nongwa.
Mjifunze nyie watu wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinijumuishe,mimi sijafungwa nyororo na chama chochote ndio maana nakosoa na kupongeza kadri ninavyoona inafaa.CCM wote mnaokosa fursa ndio mlivyo, hata nape na January walitoswa na jiwe walianza nongwa.
Mjifunze nyie watu wa ccm
Tunayo nafasi ya kuukarabati. Katiba mpya ndio jibu.Alituletea Muungano hadi Leo ni pingu ya watanganyika
Kamba yake ilikuwa ndefu.Pole pole bhana! Enzi zile alikuwa ni mtu wa kusifia tu!
Wewe katika maisha yako uliwahi kukutana na mBudha wapi?Angekuwa smart hata kidogo angefahami Tanzania ina dini zaidi ya hizi mbili za Ukristo na Uislamu, wapo Wahindu, Wabudha n.k pia wapo wasiokuwa na dini kabisa.
Wanafiki katika ubora wao, Angekuwa ni hayati JPM anayafanya haya wala wasingefungua midomo yao.Humphrey Polepole amesema kuwa
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa taifa"
"Yapo maeneo uchifu ulishaondoka,haupo. Tulishakubaliana uchifu ni ukoo wenu, mna kiongozi wa ukoo mnazungumza mambo yenu binafsi ya kifamilia leo serikali ikizungumzia uchifu hawa nao wataomba kiongozi wao (wa ukoo) atambulike na apate nafasi huko serikalini"
"Mwalimu Nyerere alikataa jambo hili (uchifu), lina faida gani. Uchifu unataka kutuibulia zile hisia kwamba tuna ukabila kama hakuna wazee wataliona hili jambo, basi mawe yataona"
"Nchi yetu ina wakristo na waislamu, ikitokea mvua imechelewa kiongozi wa serikali huwa anawaomba wakristo kanisani wakaombe na waislamu msikitini wakaombe mvue zinyeshe, lakini huwezi kusikia kiongozi wa serikali akiwaomba washirikina eti wafanye namna mvua inyeshe"
"Kwenye shughuli za serikali ushawahi kuona tunawaita wanaoabudu miti waje kuomba kabla ya shughuli? sasa uchifu wa nini?. Hawa machifu walishafutwa kisheria, tunapowarudisha tunapanda nini?"
"Nenda pale Kilimanjaro, utasema Mareale ndio chifu wao, hapana wako wengi. Kwa hiyo nao wafanye uchaguzi kisha waje kumpata chifu wao wa wote. Kweli tunaenda hivi katika maendeleo"
View attachment 2104792
Mnafiki kamkuta SSH ni mpole na ana ubinadamu. Angeweza kuyafanya haya anayoyafanya leo kwa JPM kwa kumpinga hadharani kwa kila kinachofanyika?.Opportunist tu
Mbona alikuwa anasifia kila kitu cha Magufuli?
kwa uoga wa mambo tusiyoyajua.
He is right! Ukiwadekeza wanasiasa wataturudisha kwenye upumbav! Machifu wapo, wapo wapi? Kwa kazi ipi? Ni hivi hivi kwa tamaa za kupata kila kura na kuungwa mkono, ulaya na US walijikuta wanashambikia ushoga. Siyo kila kitu kilichopo kinastahili kushabikiwa na serikali.Huyu jamaa ni boya sana ana very low IQ.
Ni fact ya wazi kwamba ma-chief walikuwepo kabla ya Tanzania na bado wapo. Hatuwezi kukataa ukweli kwa uoga wa mambo tusiyoyajua. Iko bayana relevance yao sasa ipo kwenye kuifadhi na kudumisha mila na tamaduni zetu nzuri.
Uchifu mafiiiiHumphrey Polepole amesema kuwa
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa taifa"
"Yapo maeneo uchifu ulishaondoka,haupo. Tulishakubaliana uchifu ni ukoo wenu, mna kiongozi wa ukoo mnazungumza mambo yenu binafsi ya kifamilia leo serikali ikizungumzia uchifu hawa nao wataomba kiongozi wao (wa ukoo) atambulike na apate nafasi huko serikalini"
"Mwalimu Nyerere alikataa jambo hili (uchifu), lina faida gani. Uchifu unataka kutuibulia zile hisia kwamba tuna ukabila kama hakuna wazee wataliona hili jambo, basi mawe yataona"
"Nchi yetu ina wakristo na waislamu, ikitokea mvua imechelewa kiongozi wa serikali huwa anawaomba wakristo kanisani wakaombe na waislamu msikitini wakaombe mvue zinyeshe, lakini huwezi kusikia kiongozi wa serikali akiwaomba washirikina eti wafanye namna mvua inyeshe"
"Kwenye shughuli za serikali ushawahi kuona tunawaita wanaoabudu miti waje kuomba kabla ya shughuli? sasa uchifu wa nini?. Hawa machifu walishafutwa kisheria, tunapowarudisha tunapanda nini?"
"Nenda pale Kilimanjaro, utasema Mareale ndio chifu wao, hapana wako wengi. Kwa hiyo nao wafanye uchaguzi kisha waje kumpata chifu wao wa wote. Kweli tunaenda hivi katika maendeleo"
View attachment 2104792
nani kakudanganya nyakati hupita? Ni mzunguko tu, vinakwenda na kurudiUchifu ni mila na tamaduni zilizopitwa na wakati
machifu si ndo hao hao walioshirikiana na wakoloni kuzinyonya nchi za kiafrika kwa leo bado tunataka kurudi kwenye uchifu ili utusaidie nn.wenzetu wanakimbizana na mifumo ya kisasa ambayo pia ni ya kinyonyani ss tunawaza machifu.tujikite kwenye sayansi na teknolojia yake ili taifa liondokane na unyonyaji wa mifumo kutoka nje.machifu hawana tija,tuna mambo mengi ya kitaifa tunatakiwa kuyajadili ili tutoke hapa tulipo na tusonge mbele.tuachane na hizi minor issues.tuna mambo lukuki ya kujadiliwa kwa sasa lkn machifu si kipaumbele cha taifa letu.
Hatutaki uchifu urudi.nani kakudanganya nyakati hupita? Ni mzunguko tu, vinakwenda na kurudi
Tulia dawa ikuingie, Chief Mkuu Hangaya kaupiga mwingiHatutaki uchifu urudi
Ujinga huu unaoandika hapa wa kumuabudu mwenyekiti wa chama, ndio hasa kiu yetu kwamba uishe hapa TanzaniaSalaam Wakuu,
Polepole ameandika hivi:
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa? Nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila,usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa taifa".
View attachment 2104958
MY TAKE:
Urais ni Taasisi. Polepole hauna ubavu wa kushindana na taasisi.
Samia ni Mwenyekiti wa Chama cha CCM, na anachofanya Mwenyekiti ndio maamuzi ya Chama. Polepole huwezi shindana na Chama Ukanshinda.