Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

Huna hoja
 
Mtajuana wenyewe sisi watanzania maskini hayatuhusu.
 
Polepole ni mmoja wapo waliompotosha sana Mwendazake. Aondolewe CCM haraka sana
 
Ungekuwepo wakati wa mkoloni wewe Hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na mkoloni.

Angalia hoja na si Chama Chako tu.
 
Watajuana wao wenyewe na CCM yao tumeishaichok CCM tunataka katiba mpya
 
Wewe unaweza kuwakimbia wazungu?!!!

Kiongozi gani afrika anaweza kuthubutu kufanya vita dhidi ya hao watu?!!
Nyie ndio wale wahuni mnaomdanganya Chief Hangaya kwamba tunapaswa tuwe mazoba mbele ya wazungu ili tuendelee kupewa misaada na ruzuku.

Hata mabeberu wakitushika makalio poa tu ili mradi tunapata chochote.

Jifunze kujitegemea na kujiamini, wazungu sio baba zako. Kazi yao ni kupora na kunyonya.

Na si ajabu wamekudunga machanjo ya corona wewe. I smell something wrong about you!
 
Wote hao ni CCM. Wacha wavuane nguo, walisingizia Wapinzani. Leo wako wenyewe wanazidisha utumbo
 
True
 
Serikali ya CCM watawezaje kuzitumia rasilimali tulizonazo Kwa manufaa mapana ya Taifa letu wakati nguvu kubwa wanazilelekeza kwa wale wote wanaowaona ni wakosoaji wao??

Katiba Mpya ndiyo dawa. Badala ya mwenye Mamlaka/madaraka kujijenga/kujiimarisha binafsi basi angeipa nguvu Idara na Taasisi mbali mbali za Serikali ili ziweze kujiendesha zenyewe bila kutegemea mawazo ya mtu mmoja
 
Wewe ni mmoja wa vil.aza waliojaza Nchi hii! Jielimisheni acheni kukariri madesa! Wealth creation haijalishi rasilimali ulizonazo! Wealth creation unahitaji zaidi brain, kitu ambacho tunakikosa humu Nchini kuanzia kwa Wananchi hadi Viongozi!
 
Samia ana standards za juu kabisa katika kutuvusha kutoka uchumi ulioharibiwa na HAYAWANI wa Chato kwa miaka 5.

Kwa wasiomkubali ni sawa tu wala siyo hoja. Duniani huwezi kupendwa na wote hasa wenye masilahi na nafasi hiyo na wale waliokuwa wanufaika wa mfumo uliotangulia.

Piga kazi Rais SSH, wewe ni Rais bora kabisa katika nyanja za demokrasia, utawala bora, uchumi na haki za binadamu.
 
Wote ninyi ni CCM including mleta uzi,
Whats so important, yetu macho na masikio!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…