Mimi naelewa aliwahi kusoma o-level Azania akapata matokeo ya mwisho kabisa awezayo kupata mtahiniwa.
dah!Alipata div 0 form 6,benjamin william mkapa high school
Na wewe kabla haujachangia mada Na wewe ungenza Na CV.mtoa mada ungeanza na CV yko ingekua poa sana
maana ulaya na China watu wa rika yko wako busy kubuni miundombinu ya maendeleo we upo busy unatafta CV ya pole pole
CV YA JINIAS WA UKAWA KAMANDA MBOWE
=========================================
============================================
Cv ya freeman mbowe hii hapa
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Bank of Tanzania Bank Officer -
HAHAHAHAH LOLMimi naelewa aliwahi kusoma o-level Azania akapata matokeo ya mwisho kabisa awezayo kupata mtahiniwa.
ingekuwa vyema ungeweka vithibitishoElimu yake ni kubwa kuliko ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Hivi hii kitu ni kweli mkuu maana sijafanikiwa kuona matokeo ya huyu bwana mkubwa, ila kama kuna ukweli basi Chadema kina hitaji maombi ili kifike kinakotaka kwenda.Alipata div 0 form 6,benjamin william mkapa high school
".......kama samaki mmoja akioza wote wameoza..,basi mwanaume mmoja akiwa shoga wote mashoga.."-Livingstone LusindeHumphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Kwa ufupi hawezi lingana na mwalimu kwa chochote... Sio soksi wala leso. kelele zote zile leo gafla mtu kimya? Ni mtetezi wa nani huyo kama sio tumbo lakeMnhh labda kawa soksi za mwalimu au amekuwa kiwi ndio maana unamuona kwenye viatu vya mwalimu, by the way nyerere ashakufaa na hatokuja kama yeye hadi mwisho wa duniaaaa
Ukiona mtu anamsifia huyu na yule mwenzake sio kwa uchapakazi wao bali ni namna ya kujikomba wasi sahaulikePolepole alikuwa anatoa pointi sana lakini sasa ameshiba yupo kimya kabisa, kweli njaa inatisha