pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
Mimi naelewa aliwahi kusoma o-level Azania akapata matokeo ya mwisho kabisa awezayo kupata mtahiniwa.
dah!Alipata div 0 form 6,benjamin william mkapa high school
hizi fitna, kwa kijana anayependa chama cha wazee, qt zipo inawezekana kuungaunga mwana ukatokea mbele.....
" Natambua kua ana shahada ya maendeleo ya jamii alikua anahangaikia ya pili sijui ameshamsliza au laa"