Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Ndiyo nini mkuu?
shithole - kitu kichafu, cha ovyo ovyo. Hivyo tafsiri isiyo rasmi shithole countries maana yake nchi chafu zisizo na mbele wala nyuma. Ni kauli ya hivi karibuni ya rais Trump dhidi ya mataifa ya kiafrika na Carribean.
 
Umeambiwa kutoka miaka mi 5 hadi 7, haujaambiwa kutoka kumi hadi 12 or so! Nyumbu wewe. Tatizo unasoma kwa hasira na nia ovu...

Kwa namna yoyote kuongeza kutoka miaka mi 5 hadi 7 ingewezekana maana yupo madarakani tayar...
nimeandika hivyo kwasababu mjadala uliokuwepo ni kwamba muda uongezwe ili ninyi wana ccm mmsaidie ashinde tena 2020...hoja hii haipingiki kama ndio inayoongelewa mitaani na ninyi kina green. pia nimeona kama matumaini ya mtu fulani a nayeamin akiongezewa miaka mingi hiyo atatawala miaka mingi zaidi. usifiche ukweli, funguka na usiwe mnafiki.
 
Kwa anamjua aliyeanzisha MJADALA wa kuongeza kipindi cha Urais kutoka MIAKA 5 na kuwa MIAKA 7 atufahamishe.Napenda nimfahamu mtu huyu ili atusaidie kutueleza sababu za kuongeza muda.Maskini inawezekana Ana uelewa mpana mpaka kuanzisha mjalada huu.
 
Muulize aliyemtuma
 
Mujahidini Nkamia!
 
Nadhani kuna mtu alitaka kuiga mambo ya Rwanda lakini akashauriwa kwamba atachemsha na kudharauliwa sana akianza vitabia vya kujifanya yeye ni bora kuliko viongozi wote waliomtangulia, ilihali ni mtu wa kawaida sana
 
Binafsi sifurahishwi na nia yake ya kugombea tena 2020.
 
Hafurahishwi na kuongezwa miaka saba. Je, lile wazo la Mbunge wa CCM ndugu Maji Marefu la kuongezwa miaka hadi 20 anafurahishwa nalo? Maana kuna wanaCCM wanaosema kwa huyu jamaa apewe miaka 7 na wale wanaosema iwe miaka 20.
 
Naomba huu Uzi wangu utumike kama kumbukumbu kwa kizazi cha sasa na kile cha 2020 kuelekea 2025. Kwa ukweli ninaoujua hakuna Kiongozi aliyekataa kuongezwa kwa muda wa kukaa madarakani bali mnapigwa Chang's LA macho.

Suala limepangwa ipasavyo, ni ngumu kubaini ila ukweli mtaugundua ndani ya muda huo nilioutaja. Kuweni making msichezee na msikubali kuchezea amani ya Tanzania
Ni hayo tu
 
Yani CCM wanatufanya kama watanzania wote ni nyumbu. Magu katoka hadharani kutangaza kwamba hawezi kuongeza muda wa kuongoza Ila huku nyuma kuna kundi nyuma yake likipiga chapuo muda wa kuongoza uongezwe. Baadae Magu atakuja tena hadharani kusema kwamba yeye hakutaka kuongeza muda wa kuongoza ila ameombwa sana ndo maana kakubali. Yani wala haihitaji rocket science kuelewa huu mchezo unaotaka kuchezwa na hawa inzi wa kijani.
Yani huu ni mpango tena umesukwa vilivyo,mtakuja nambia si tupo hapa.
Muda ndo mwalimu mzuri.
 
Show me your friends i will tell who you are his friends are kagame the dictotor ,museveni the dictoctor,kabila the dictator probably he be like one of them
 
Hilo mbona tunalijua...mjadala wao wenyewe ndio wanauleta..ili kuwaandaa kisaikolojia

Plan iliyopo sasa ni kumfanya yeye awe kama mtakatifu...ziimbwe sifa zake tu...asikosolewe...baada ya hapo watu wa chama chake watamlazimisha
 
Bora alivyotolea ufafanuzi.....

Sisi wengine tunaona lini atamaliza muda wake aende, halafu miccm eti inataka kumuongezea miaka mingine 2!
Mystery-ROSAMISTIKA kwa taarifa ya rais sasa tunajua siyo yeye wala CCM wanaotaka muda wa rais JPM kukaa madarakani uongezeke. Kama jambo hili likiwezekana basi litamhusu rais ajaye ambaye hatujui atatoka wapi- inawezekana akatoka CHADEMA ambako mwenyekiti wao amezoea kukaa madarakani bila ukomo au ataendelea kutoka CCM ambako wao sera yao ni miaka 5.
 
Mwambie kuwa Watanzania ni waelewa na wanajua kuwa yeye ndiye mwamzilishi wa mpango wa BAKI MAGUFULI na sasa mpago wa miaka 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…