Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

Alikuwa wapi kutufundisha hayo nyakati zile mwendazake akitupiga mkwara wazi wazi kwamba haleti maendeleo kwenye jimbo letu kwa sababu tumechagua upinzani? Nayeye alikuwa sehemu ya washauri wake wakuu.
 
Safi sana Polepole huo ndio uzalendo wa kweli acha ule wa mdangaji wa wazungu Lisu wa kupinga kila kitu
 
Atulize tackle huyu jamaa. Enzi zile alikuwa anabwata sana. Sasa zamu yake kuisoma namba.
Hawezi kukaa kimya arudishe kadi ya chama hakuna hasara itakayojitokeza kufanya by- election maana ni ubunge wa kupewa aliupata.
 
Hukunako
Screenshot_20210915-113435.jpg
 
Kweli dunia ni duara. Enzi za nyuma walikuwa kinara wa kufungia mitandao, na kuwapa kesi watu wanaoikosoa serikali.

Ingawa kaongea jambo la msingi, ila ni vizuri kusimamia haki tokea mwanzoni na sio kusubiri mpaka mambo yabadilike na kuona ametengwa na serikali mpya, ndo unaanza kupambania haki.

Hii iwe fundisho kwa wanasiasa wengine, watende haki wanapokuwa na mamlaka kwani inamanufaa kwa wote. Hata siku ambapo watakuwa hawashiki mpini tena, bado itawasaidia. Na sio kukumbuka shuka wakati kumekucha.
 
Anti-Samia government, Comrade Polepole anazidi kujibebea point

Tazama hapa

Huyu Polepole keshachanganyikiwa, hili darasa lake kwanini hakufundisha enzi ya utawala kandamizi wa Dikteta Magufuri wakati yeye alikuwa sehemu ya utawala huo? Kucha alikuwa akisifu ukandamizaji aliokuwa akiufanya Magufuri na kumuita mzalendo. Polepole anapaswa kufahamu kila zama na nyakati zake. Kwanza hatoaminika tena sababu enzi ya katiba ya warioba, enzi ya Magufuri na sasa mama samia anabadilika kimsimamo kama kinyonga. Namshauri akae kimya wenye CCM yao wamesharudi yeye ajiandae kutafuta kazi ya kufanya muda si mrefu atafukuzwa uanachama na kupoteza ubunge
 
Kweli dunia ni duara. Enzi za nyuma walikuwa kinara wa kufungia mitandao, na kuwapa kesi watu wanaoikosoa serikali.

Ingawa kaongea jambo la msingi, ila ni vizuri kusimamia haki tokea mwanzoni na sio kusubiri mpaka mambo yabadilike na kuona ametengwa na serikali mpya, ndo unaanza kupambania haki.

Hii iwe fundisho kwa wanasiasa wengine, watende haki wanapokuwa na mamlaka kwani inamanufaa kwa wote. Hata siku ambapo watakuwa hawashiki mpini tena, bado itawasaidia. Na sio kukumbuka shuka wakati kumekucha.
Kweli kabisa✔
 
Sahihi kabisa, Wahenga walisema " mfa maji haachi kutapatapa" . Haya yote yanatokea sababu anakumbuka alivyokuwa akiogopwa na wabunge, Rcs, DC na hata mawaziri, kwa raha alizokula. Nashauri kamati kuu imtimue uanachama kabisa aje huku mtaani tummalize kabisa
 
Pole pole ni mhaini nashangaa kuona serikali inavyoendelea kumchekea
 
Sahihi kabisa, Wahenga walisema " mfa maji haachi kutapatapa" . Haya yote yanatokea sababu anakumbuka alivyokuwa akiogopwa na wabunge, Rcs, DC na hata mawaziri, kwa raha alizokula. Nashauri kamati kuu imtimue uanachama kabisa aje huku mtaani tummalize kabisa

Umenikunbusha ile kauli, "Mheshimiwa spika wabane huko ndani tutawashughulikia mtaani"
 
Nadhani ndiyo kwanza akili yake inarudi kwenye mstari! Tumvumilie.
 
Back
Top Bottom