USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kumbe darmpya blog la wapuuzi , acheni uchonganishiAnti-Samia government, Comrade Polepole anazidi kujibebea point
Tazama hapa
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe darmpya blog la wapuuzi , acheni uchonganishiAnti-Samia government, Comrade Polepole anazidi kujibebea point
Tazama hapa
Angekuwa mzalendo angemshauri mwenda zake kuhusu umuhimu wa katiba mpyaSafi sana Polepole huo ndio uzalendo wa kweli acha ule wa mdangaji wa wazungu Lisu wa kupinga kila kitu
the luxurious life he was so afraid to lose.He got a point... yes yes..
But what made him silent for the past 6 years?
Anti-Samia government, Comrade Polepole anazidi kujibebea point
Tazama hapa
Kweli kabisa✔Kweli dunia ni duara. Enzi za nyuma walikuwa kinara wa kufungia mitandao, na kuwapa kesi watu wanaoikosoa serikali.
Ingawa kaongea jambo la msingi, ila ni vizuri kusimamia haki tokea mwanzoni na sio kusubiri mpaka mambo yabadilike na kuona ametengwa na serikali mpya, ndo unaanza kupambania haki.
Hii iwe fundisho kwa wanasiasa wengine, watende haki wanapokuwa na mamlaka kwani inamanufaa kwa wote. Hata siku ambapo watakuwa hawashiki mpini tena, bado itawasaidia. Na sio kukumbuka shuka wakati kumekucha.
Njaa tu inamsumbua huyo PP wenu.Safi sana Polepole huo ndio uzalendo wa kweli acha ule wa mdangaji wa wazungu Lisu wa kupinga kila kitu
Sahihi kabisa, Wahenga walisema " mfa maji haachi kutapatapa" . Haya yote yanatokea sababu anakumbuka alivyokuwa akiogopwa na wabunge, Rcs, DC na hata mawaziri, kwa raha alizokula. Nashauri kamati kuu imtimue uanachama kabisa aje huku mtaani tummalize kabisaKweli dunia ni duara. Enzi za nyuma walikuwa kinara wa kufungia mitandao, na kuwapa kesi watu wanaoikosoa serikali.
Ingawa kaongea jambo la msingi, ila ni vizuri kusimamia haki tokea mwanzoni na sio kusubiri mpaka mambo yabadilike na kuona ametengwa na serikali mpya, ndo unaanza kupambania haki.
Hii iwe fundisho kwa wanasiasa wengine, watende haki wanapokuwa na mamlaka kwani inamanufaa kwa wote. Hata siku ambapo watakuwa hawashiki mpini tena, bado itawasaidia. Na sio kukumbuka shuka wakati kumekucha.
Sahihi kabisa, Wahenga walisema " mfa maji haachi kutapatapa" . Haya yote yanatokea sababu anakumbuka alivyokuwa akiogopwa na wabunge, Rcs, DC na hata mawaziri, kwa raha alizokula. Nashauri kamati kuu imtimue uanachama kabisa aje huku mtaani tummalize kabisa