Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

Ngoja nijaribu kuhoji Hivi pale Komaswa maeneo ya Gachuma wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara pesa iliyochangwa KWAAJILI ya kujengea makaburi ya ndugu zetu waliopata ajali wakaungua vibaya kiasi cha kuzikwa eneo la ajali yatajengwa lini? Pesa hizo zipo wapi? Au tumefikia hatua ya kuwaibia hata marehemu?

Hivi tatizo ni CCM au watu waliopo CCM ambao pia wanaweza kuwa Chama chochote?

Hivi mlinzi wa ubadhilifu,ufisaji wizi alikuwa ni peke yake mwendazake wengine haituhusu?

Je,ni kweli Yale maisha tuliyoyachukia mpaka kumuomba MUNGU atupe kiongozi mkali yanaanza KURUDI?

Nchi hii bila udikteta itakwenda?
 
Mzalendo hawezi kuzungumza UPUMBAVU kama huu. Acha ujinga!!!

Hii ndiyo sehemu chache ya raha alizokuwa akila huyu Ndezi mpaka anadiliki kutamka maneno ya kifyosi na nyodo. Dadadadadek mie nina pikipiki aje nimpe
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo Humprey Pole Pole kwa sasa amekuwa Mwalimu mzuri sana wa masuala ya uongozi. Je anatumwa na nani! Akina nani wapo nyuma yake??
Nimepitia bandiko lake nikabaini anatumia alama za Bunge na ccm... Je, wao ndo wanamtuma aseme anayosema??
Screenshot_20210917-164739.png
 
Kwani unaumia! Mi natamani moate elimu ya kweli ya uongozi kama hiyo anayotoa Polepole sio hizi mnazofundishwa ili kujibia mitihani tu
 
Kama inakuuma acha tu kumwangalia,wanaohitaji wataangalia.
Kama vipi muanzishe nanyinyi darasa la kumjibu.
 
Wewe mwenyewe umekiri kuwa amekua mwalimu mzuri alafu unauliza tena ametumwa na nani. Ametumwa na Wito wake
Ndiyo anafundisha vizuri sana... Lakini kwa nini sasa? Na anashirikiana na akina nani? Mbona alipokuwa kwenye enzi halitenda kinyume?
 
Back
Top Bottom