Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Taratibu akili inaanza kumrejelea Polepole...
 
Ameyaongea hayo kwenye mkutano wa chama. Ccm kuweni makini makini mmefuga bomu litawalipukia any time
Msimbeze polepole, nyuma na mbele yake hayuko peke yake, ila ni bahati mbaya Ccm Hualibu vipaji, akionekana anaejitambua Basi huitwa msaliti ndani ya Chama,

By the way najua , mapungufu ya uongozi ya polepole, may be kaokoka na kutubu na anaona Sasa kua ccm alikurupuka,
 
Tulisema mkishatumaliza,mtaanzana wenyewe Ngoja moto uwake mtatoleana siri zote,mlizofanya wakati wa Mwendazake
 
Anajifanya haeshim mamlaka

Ova
Hata ungekuwa wewe ungedata😂 ghafla machawa wote wamekukimbia....we life la mjini unalijua, machawa Wana Raha yake, machawa hawana Tu hela Ila wanajua viwanja vyote vikali, pisikali zote, na hawakataliwagii....! Sasa ghafla wanakukataa wanakuona umekaukiwa damu, zile mkuu, boss, mkubwa huzisikii tena....halafu ghafla tu...lazima udate, huyu tumuhurumie, kuvaa viatu vyake ni ngumu.
 
Wakati CCM wanampa chizi nafasi nyeti kwente secretariat walifikiri nini? Au kwavile na mwenyekiti wao alikuwa chizi pia.
Sasa ngoja watwangane mawe na kupakana kinyesi
 
Mwambieni ahache kutuchosha, vip msimamo wake ime base wapi.... au hanajifurahisha tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana waandishi wa Habari wanatukanwa,hivi wameacha shughuli zao wanaenda kusikiliza hadithi.
 
Kabisa teh teh

Ova
 
Mkuu hapo ndio umejibu hoja za Polepole au bado una-search majibu kwanza ila umetanguliza tusi kama kawaida ya wabongo?
 

Kuna kula na kuongea. - Humphrey Polepole.
 
Haringi tena na Vieetee?
Acha machizi wapakane kinyesi..sisi hatumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…