Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipuz sn huyu classmate wang wa mbuyuni shule ya msingiHuyu anachokitafuta atakipata muda si mrefu. Namsikitikia na kumhurumia sana.
We salute the rank brother, not a person.....sipati picha wale kina Sirro alokuwa anawapigia simu usiku live kuwahoji jinsi sa hivi wanampita Kama hawamjui😂Muda wa kufundishwa yeye adabu sasa😂View attachment 2040512
Msimbeze polepole, nyuma na mbele yake hayuko peke yake, ila ni bahati mbaya Ccm Hualibu vipaji, akionekana anaejitambua Basi huitwa msaliti ndani ya Chama,Ameyaongea hayo kwenye mkutano wa chama. Ccm kuweni makini makini mmefuga bomu litawalipukia any time
Akatafute kazi ingine imeisha hiyooo😂We salute the rank brother, not a person.....sipati picha wale kina Sirro alokuwa anawapigia simu usiku live kuwahoji jinsi sa hivi wanampita Kama hawamjui😂
Kwa ufupi akatafute Kazi nyingine😂 imeisha hiyo.
Hata ungekuwa wewe ungedata😂 ghafla machawa wote wamekukimbia....we life la mjini unalijua, machawa Wana Raha yake, machawa hawana Tu hela Ila wanajua viwanja vyote vikali, pisikali zote, na hawakataliwagii....! Sasa ghafla wanakukataa wanakuona umekaukiwa damu, zile mkuu, boss, mkubwa huzisikii tena....halafu ghafla tu...lazima udate, huyu tumuhurumie, kuvaa viatu vyake ni ngumu.Anajifanya haeshim mamlaka
Ova
Wakati CCM wanampa chizi nafasi nyeti kwente secretariat walifikiri nini? Au kwavile na mwenyekiti wao alikuwa chizi pia.Binadamu ni kiumbe ghali sana kupata kuumbwa, haiwezekani Mungu atulie amuumbe mwanadamu halafu mwingine ujitokeze umpoteze Tu kiboya....hapo hajiamini, na hivyo CCM hawamjibu wala kumuita anahisi uhai wake upo rehani na yeye atapotezwa....anaitisha hivyo vipress Ili kutafuta ulinzi WA macho ya watu.
Huyu kwa kifupi ni kadata, Ila asipewe dawa Ili aropoke yote walivokuwa wakiyafanya.
Mwambieni ahache kutuchosha, vip msimamo wake ime base wapi.... au hanajifurahisha tuu.Hi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039938
=====
UPDATES;
======
"Kama viongozi wasiposali na kumtemea Mungu nchi yetu haiwezi kuendelea, tumtangulize Mungu mbele. Kuanzia diwani, mpaka mawaziri na kule juu tuwe watu wa maombi, kukumbushana ni muhimu, naona kama tunatakiwa tuishi maisha ya Kimungu hivi." - Humphrey Polepole
"Viongozi wanatakiwa wawe waadilifu na wanyenyekevu." - Humphrey Polepole.
"Nilisema kuhusu magonjwa, mfano ebola, kesi moja tu imewahi kupenya na ikafuatiliwa na sasa tuko salama. Yakaja haya magonjwa mengine maarufu hivi karibuni lakini sio kitu. Nikasema muwe makini hawa wahuni wa kimataifa ni wajanja." - Humphrey Polepole.
"Nilizungumza kuhusu songombingo la wamachinga, Mhe. Rais Samia Suluhu alitoa maelekezo mazuri sana lakini wapo waliotekeleza vizuri wengine wamefanya vibaya mno, wameboronga, ukimkosoa DC au RC kuhusu hili wanasema umemkosoa Rais, nani kakwambia?" - Humphrey Polepole.
"Rais Samia Suluhu alitoa maelekezo mazuri sana kuhusu wamachinga, wapangeni vizuri, msiwazonge, msiwapige, msiwanyanyase.... mimi ni mwana-CCM bana, fitina kwangu ni mwiko. Nikasema mlivyotenda kwa machinga baadhi yenu mmekosea na nikatoa mifano." - Humphrey Polepole.
"Kwenye mgongano wa kimasilahi kuna aina tatu, masilahi ya Taifa, kundi au mtu mmoja mmoja, wanaanza na masilani ya mtu mmoja, kisha kundi na baadaye Taifa, nikasema wanaopanga hivi ni wahuni." - Humphrey Polepole.
"Wahuni wanapenda masilahi binafsi kwanza, kazi yetu ni kuwadhibiti bila huruma wala kucheka nao. Yanatokea majitu tena viongozi na kusema mimi ni muhuni nimepenya, unaweza kutafakari namna gani kiongozi huyu yuko serious, huwezi kuwa kiongozi ukachekelea kuwa mhuni." -Polepole.
"Kule bungeni tunakutana mara chache, mfano kuna kipindi cha mwezi Machi hadi Julai, ina maana mimi niongee mara nne tu kwa mwaka kuhusu wahuni, unadhani inatosha, nitatumia fursa zozote za kusema ili kuwasema wahuni," - @hpolepole, Mbunge wa kuteuliwa.
"Kwa sasa nimeshaanza kufuatilia mambo kadhaa, watu wakizingua pahala ninatoka ninasema hapa umezingua nitaruka na wewe, nakulipua, si wanachelewa kuchukua hatua? - Humphrey Polepole.
"Sijasema Serikali haifanyi kazi, Serikali inafanya kazi nzuri sana lakini ni jukumu letu na kukumbushana. Unadhani kwa nini malaria haiishi na tumesoma mpaka madarasa tukayamaliza? Halafu tunasema tu lete net, hivyo viwanda wanatengeneza wapi?, vya msaada. - Humphrey Polepole.
"Nilieleza kuhusu uchambuzi wa matatizo, malaria haiishi Tanzania kwa sababu hatuchambui tatizo, unadhani ufumbuzi ni chandarua kwani ukitoka usiku kwenda haja ndogo mbu si wanaunga na wewe? tunafanya maamuzi ambayo hayajajengwa katika kutatua tatizo, hilo nalo tatizo." -Polepole
"Kuna kiwanda kipo hapa nchini kinatengeneza viuatilifu vya kuua mazalia ya mbu, nyie wanahabari waulizeni wamewahi kunnuua pale? Mtu analala kwenye chandarua mguu upo nje, mbu wanamng'ata, nauliza sisi tumekwenda shule tukasoma, hii ndio suluhisho kweli?" - Humphrey Polepole.
"Nilizungumza kuhusu deni la taifa, kuna watu wengine ni wabunge wakaibuka wanasema ooh deni limekuuwa kubwa, zito linamuelea mama. Nikatoka nikasema ukweli wasipotoshe, ni uongo. Si viongozi wote tupo kwa nini mwenzetu anapotosha na hatutoki kusema? kimya. -Humprhey Polepole.
"Sijui kwa nini viongozi wanaogopa kusema, sijui wanaogopa, kwa sababu deni linalosemwa viongozi wote walikuwepo, niweke sawa watu wasielewe tofauti. Kwa nini wenzetu msitoke mkasema, au mpaka watu wachanganyikiwe, penye ukweli lazima tuseme ukweli? - Humphrey Polepole.
"Juzi Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ndiye amekuwa mtu wa kwanza kutoka na kusema deni la Taifa ni himilivu, na yeye amejiongeza tu baada ya kuona kimya." - Humphrey Polepole.
"Sijazungumzia mtu, mbunge, mamlaka ya nchi wala mjomba wake mtu lakini baadhi ya viongozi wamechukia, kwa nini unaongea? Hivi imefika pahala tunaulizana kwa nini umeongea, Mungu amenipa mdomo unataka nifanye nini? Kuna kula na kuongea. - Humphrey Polepole.
ZAIDI SOMA.....
Mbunge wa Kuteuliwa (CCM),Humphrey Polepole amesema amepokea Mashtaka ya TCRA yanayosema kupitia Kipindi chake cha Shule ya Uongozi, amerusha Maudhui yanayopotosha Umma na yanayoweza kuchochea Watanzania kuweza kugomea Kampeni ya Kitaifa ya #COVID19
Akizungumza leo amesema, "Hivi mimi nimewahi kuwaambia ninyi tudhoofishe Kampeni ya Corona? Wapi niliwaambia kwa maana hiyo?"
Amesema kwasababu amepewa nafasi ya kujibu, atapelekea Utetezi wake aliodai unajitosheleza
#JamiiForums #UVIKO3
Kwamba akatafute KAZI nyingine ,Akatafute kazi ingine imeisha hiyooo😂
Kabisa teh tehHata ungekuwa wewe ungedata😂 ghafla machawa wote wamekukimbia....we life la mjini unalijua, machawa Wana Raha yake, machawa hawana Tu hela Ila wanajua viwanja vyote vikali, pisikali zote, na hawakataliwagii....! Sasa ghafla wanakukataa wanakuona umekaukiwa damu, zile mkuu, boss, mkubwa huzisikii tena....halafu ghafla tu...lazima udate, huyu tumuhurumie, kuvaa viatu vyake ni ngumu.
Pole Pole aitwa TCRA kutokana na maudhui aliyoyatoa kuhusu ugonjwa wa Corona kwenye kipindi chake cha shule ya uongozi.