Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Ni aibu watu hawajamwelewa PolePole. Naona kama ni upinzani katika nchi hii utatokea kwake. Kijana amejizatiti. Subiri uone!
 
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO

Mnachekesha sana,asubuhi mliamka na thread za kuuaminisha umma humu mitandaoni kwamba Polepole anakwenda kutangaza kujivua uanachama.

Baada ya kuumbuka na uongo wenu, sasa mnatunga uongo mwingine mwiingi.

Polepole hana njaa na amekwisha weka wazi kwamba 2025 hataki ubunge

Yule sio kilaza.elimu yake sio kama ya Dj au Sugu na wengine wengi waliochutama kwa sasa huko vijiweni
 
Pole sana,
shimo hilo ulilichimba mwenyewe kwa mikono yako.Sasa waingia mwenyewe pasi kutaka kwako.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli unabaki kuwa wananchi waliwakataa na wakamkubali JPM.
Na 2025 wale wote mliokunywa bia za kufurahia kifo cha JPM wananchi wanawasubiri.

Labda muugomee tena uchaguzi.
JPM ni turufu ya uongozi 2025 kubali kataa. At least Polepole anafanya kazi nzuri.
 
Tunamsubiri katibu mkuu wa CCM mstaafu a.k.a katibu mkuu kiongozi mstaafu a.k.a mbunge wa kuteuliwa Dr. Mtumia dola kubaki kwenye dola tuone Kama bado ameshika dola aje naye aseme machache. Tumemiss kule kukuamini kwake Hadi akawahoji makanali wastaafu wa jeshi.
Aisee Kuna watu wanajiamini.....
 
Yote kwa yote anauoyapitia sasa aliyategemea kipindi akiwa kwenye viiete ya kiyoyozi?
 

Baada Ya Jiwe Kufa Sukuma Gang Ni Kama Mmechanganyikiwa Vile;
 
Hii ndio habari yakuita waandishi wa habari ? Kweli jamaa analazimisha publicity, political mileage au sijui ni nini ? Kazi kweli kweli !!
 

Mheshiwa Polepole ni sauti muhimu sana ya umma. Anawakilisha wengi. Nyie TCRA hamna kazi, kwanza watu kawa hawa wenye mawazo mbadala ya kushauri, kurekebisha, kukumbusha inabidi muwalinde.

Demokrasia ni nini? kuwasikiliza wengi, mawazo yao, maoni yao, kero zao, wanateseka na nini?

Uraia ni nini? A citizen is a participatory member of a political community.
Raia ana haki anatakiwa atoe maoni kwa staha ya kujenga nchi yake. ni jukumu lake, jukumu la raia wote wa nchi yoyote duniani.

Serikali ni nini? Watu wachache wamepewa dhamana, nafasi kuwaongoza Wananchi wote.
Inamaanisha kuwasikiliza, kutatua kero, shida zao, kuweka mazingira sahihi ya biashara, kodi, kilimo, exports, miundombinu yote ( Afya, shule, hospitali, barabara) ustawi wa nchi.

TCRA mnataka kila mtu akubali huu uhuni, maji, umeme, ajira hakuna, mfumuko wa bei, vifurushi, wote inabidi tucheke huku tunakufa taratibu. Mnakosea, hamjui majukumu yenu.
 
Aiseee
 
Mbona enzi zake akiwa na nguvu wenzake wakizungumza wanatekwa au kuuliwa kabisa? Kwa hiyo na yeye atekwe siyo au auliwe kabisa?!!!
Vijana wa ccm tukiwaambia tujenge chi kwanza chama baadaye hamtaki, mnadanganywa eti chama kwanza nchi baadaye...ipo siku ya kila mmoja wenu itafika tu, mnakitukuza chama na kuidharau NCHI!!!!!
 
Enzi za Jiwe hayo yote hamkuyajua?kafieni huko
 
Kipuz sn huyu classmate wang wa mbuyuni shule ya msingi
Yeye nani anatisha watu

Ova
Tuondolee ubishi leo mlimaliza mwaka gani? Maana wengine wanadai Polepole amemaliza shule ya msingi miaka ya 80 mwanzoni.
 
Hahaaaa!!!!hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…