Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Mwamba kapagawa, zile perdiem hazipo tena, akienda ziara anasindikizwa na askari hakuna tena vieite la kijani hakuna tena mzee wetu kapagawa uenezi hana tena anajifanya mzalendo, wakati wanafungia mikutano vyama vingine alikua wapi? Atulie atutolee kelele
Alikuwa hana uzoefu wa maisha fulani,
Kupanda viete etc
Kukamata mpunga, mirija ilipokatika
Anaanza kulialiaa

Ova
 
Polepole kubali yaishe! Mungu ndo ameshaamua tena, mwisho wake ulifika. Ndo basi tena!

Hata uvue nguo harudi na wewe haurudi tena kwenye enzi! Kubali yaishe;
 
Huyu anachokitafuta atakipata muda si mrefu. Namsikitikia na kumhurumia sana.
Anadhani CCM Yao na marehemu ndio hii, Ile CCM ya kupiga risasi wakosoaji, hapo hajiamini anatafuta mass support.....Ile mizimu ya Kina Ben, risasi za Lisu inamsumbua kichwani.
Na bado maumivu ya kichwa huanza polepole Kama jina lake, atataja kaburi la Ben lilipo na watu wasiojulikana walikuwa wanalelewa na Nani....Damu ya mtu ni nzito.
 
CCM wanaiogopa sana hiyo, usifanye ionekane kama ni jambo la kawaida!
Mbona akina ZZK wamekuwa na youtube talks, kuna akina Maria wana space talks, kuna akina Jenerali wanazindua vitabu na kujiachia kuzungumza.

Kwanini Polepole kuzungumza na media LHRC inaonekana nongwa? Nadhani maadamu hajavunja sheria na msingi wa uongozi ni kukosoana kwa misingi ya kujenga hoja pasi kutwezana, bila shaka Humphrey ana ujumbe wa kutufikirisha.
 
usitutishe...being a big fish without having an influence and commanding power in tiss, police force and the inner circle of ccm is like being naked.

polepole na wanaomtuma kwa sana hawana huo u-big fish unaousema. hata inzi tu akikatisha wanaogopa.
Kama ni hivyo basi atakuwa amechanganyikiwa, pole sana Mr PLPL , Lakini si vibaya akijaribu siasa ni mchezo mchafu wanasemaga !!
 
Huyu jamaa ana degdege. Damu za alio ua akishirikiana na wasio julikana zimeanza kucheza nae. Hivi ana jiona ni star kuliko nani huyu mchumia tumbo??
Binadamu ni kiumbe ghali sana kupata kuumbwa, haiwezekani Mungu atulie amuumbe mwanadamu halafu mwingine ujitokeze umpoteze Tu kiboya....hapo hajiamini, na hivyo CCM hawamjibu wala kumuita anahisi uhai wake upo rehani na yeye atapotezwa....anaitisha hivyo vipress Ili kutafuta ulinzi WA macho ya watu.
Huyu kwa kifupi ni kadata, Ila asipewe dawa Ili aropoke yote walivokuwa wakiyafanya.
 
Back
Top Bottom