Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Samia alikuwa makamu, na ndio maana anashauri pawe na kumwanga oil kwa sababu utawala wa samia umeendelea kufanya mauaji kwa raia, wanasiasa na kushambulia viongozi wa dini
 
Tanzania tungekuwa na Usalama wa Taifa huyu Samia angekuwa ameshajiuzulu muda mrefu sana, lakini kwa kuwa Usalama wa Taifa umesheheni magenge ya wezi na MAKADA wa CCM, yana cheka cheka tu, kuteka wakosoaji, kufira na kuua. Shame on them.
 
Your name, though pseudo, is a true reflection of your thinking
 

Muache aongee. Kuchuja ukweli na uongo ni suala la kila mtu binafsi.

But actions speak louder than words....
 
Siku CCM wakitoka kutakuwa hakuna nchi imebaki, kuipata Tanzania itabidi ku nationalize kila kitu na kufunga na kutaifisha kila kitu cha viongozi wa CCM na mafisadi wenzao
 
Hivi Mama Samia hawezi kamatwa na kuwekwa selo kwa kuiuza hii nchi maana hatufai hata kidogo.
 
Nambo ya risasi muulize IGP na polisi wake
 
Hivi Mama Samia hawezi kamatwa na kuwekwa selo kwa kuiuza hii nchi maana hatufai hata kidogo.
Chuki zenu za kishamba kwa Muislamu zitawatokea puani. Mada Migodi imeuzwa na Rais mwengine 2021. Michuki yenu ya kukalilishwa Makanisani mnakuja kuumbuka JamiiForums!!!!

sasa hata jinsi ya kuipanga mnashindwa. Tafuteni dawa mpone chuki dhidi ya Dini ya KISLAM. SAMIA SULUHU HASSAN Ni. RAIS 25 - 30 meza na maji.
 
Wajinga bwana, tunaangalia hoja zake! Nani kamwita shujaa sasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…