Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Uwo uhuni upowapi hapo maana naona haja nunuwa hisa zinazo milikiwa na serikali embu mtueleweshe mliyo elewa na mimi niujuwe na kama anamakosa siapelekwe Mahakamani.
 
..unapomuongelea Rostam kwenye jambo lolote fanya kwanza background check ili umjue kwa ukaribu, kampuni yyte ya biashara lengo si kwenda mahakamani, lengo ni kupata faida kwa njia zozote zile..haramu na halali, kutoka wizi wa pesa BOT hadi umiliki wa channel 10 isivyo halali, huwezi kuamini lolote analofanya rostam hapa tanzania, hivyo viini macho vya madeni bandia kampuni yake ikiwa supplier wa mwekezaji wanadanganywa mazuzu km wewe! Almasi kdg tu iliyokamatwa 2017 hapo JNIA waliyokuwa wanatorosha hao Petra..tena kwa tukio moja thamani yake ni zaidi ya mara 3 ya thamani ya uwekezaji wao hao Petra diamonds mwadui..halafu unaruka ruka kupayuka walishindwa kulipa suppliers!
 
Sawa tu...kuuziwa Raia wa Nchi ni jambo zuri
 
Nyie watu wasahulifu sana.

Ngoja tuone.
 
Habari uliyoileta haina uandishi mzuli wa maneno ya Hamfrey Polepole kwa Mtu ambaye hajaiangalia Vidio ya Hamfrey Polepole, alafu naomba uniambie hiyo 31½% ameuziwa na Serikali au Selikali iliyopo inausika vipi.
 
Acha utapeli ndugu, akwilina hawezi kurudi tulishampoteza na tumekubali, ila hili suala la kumuuzia rostam migodi yetu kwa bei za kutupa ni dharau na ubinafsi wa samia na team yake! Na tunamchukia kuliko tunavomchukia shetani! Samia lazima aondoke atatuuza huyu dalali walah!
 
FFgghs#@@
 


🤣🤣🤣
 
mimi naona haya mambo yanafanana na zile hesabu za cross multiplication!!!!...hayaeleweki kama sura ya mchina na mfilipino mixer mkorea,,,CCM ni ileile!!!!,,,,,,,umwombe msamaha magufuli wa nini wakati alikuwa sometimes akihihutubia taifa kisukuma{alikuwa mkabila sana] alijaza wasukuma serikalini,mpka kiwanja cha ndege ambacho leo hii wa2 wanajifanyia jogging!!!,,,,,,,,wanyama pori wanakufa kwa sababu ya issue ya ecology!!!!!...ndo manake alikuwa na uso mkavu kama wa KASONGO!!!
 

Mimi naongelea issue ya Petra na Tancoal biashara ilivyofanyika, wewe unazungumzia Rostam na historia yake.

Suala la historia yake na mambo yake mengine baki nayo mwenyewe maana sina fact yeyote na mpaka sasa zimepita serikali kadhaa hakuna aliyemchukulia hatua, na awamu ya nne ikamfanya partner na kumpa mpaka kiwanda cha ngozi pale Morogoro + plea bargain na mdogo wake Akram kwenye vitalu vyao vya uwindani, sasa kama Serikali inamkumbatia na kumfanya partners mimi nani?

Tujitahidi pia Watanzania kuondoa notation mtu akiwa mfanyabiashara basi ni mwizi ilihali ana baraka zote za mamlaka.
Pale tutakapo prove ni mhalifu ndio tumuite mhalifu.

ndani ya viunga vya Khartoum Sudani.
 
Sawa tusubiri tu tuone. Kwasababu nyie ni wepesi sana wa kusahau.
 
Uzuri WA pole pole yeye anaongea tu na kujipa stress na vidonda vya tumbo bureee ila nothing will happen...na sisi huku jf ni keyboard warriors mpaka 2030 samia atakapotoka then anakuja mwingine mpaka 2040 na maisha yataendelea
 
Mkuu wewe unachanja mbuga Tu kwenye mataifa ya kigaidi. Unajishughulisha na ulanguzi wa silaha? Si urudi bongo ulime tu kuliko kuweka maisha yako hatarini ukaozea jela milele.
 
Lakini watu wanamzushia kikwete wakati kikwete na Rostam hazihivi.

Awamu ya nne wakati wa vugu vugu la Lowassa watu hawajui kama RA alikimbia nchi na akija alikuwa anaishia Nairobi.

Rostam alirudishwa nchini na awamu ya Tano kupitia JPM ili amrudishe EL CCM wateam up kupambana na BCM ambaye at that time JPM alimuogopa akijua ana backup ya JK ilihali BCM alikuwa dhaifu tu. HP atuambie hapahapa walibargain nini na RA na EL? pamoja na team ulipo tupo?.

ndani ya viunga vya Khartoum Sudani.
 
Dah mkuu upo deep sana. Ndo maana nawaambia watu humu wasiwe Na mihemko.

Tate Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…