Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Upewe wewe unayehitaji
Sisi tuna za kutosha, hata Polepole mwenyewe anajua hilo. Upo nyonyo!?
Acha unazi kila mtu anajua wewe ni chawa wa huyo slow slow
Chawa huwa hatoki kwenye koti we nenda nae uwe unampikia chai
 
Sindano ya chanjo achomwe kwenye macho au kwenye ulimi
 
Kitendo cha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kumteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi kimewashangaza wengi, kwa kuwa ni kama haikutegemewa hata kidogo.

Mshangao huo ni kwa kuwa ilionekana wazi kama Polepole ameshakuwa ‘mpinzani flani’ kwa ile kampeni yake ya 'kuondoa wahuni' huku akiongoza katika kukosoa mambo kadhaa ya Serikali ya sasa kiasi kwamba TCRA ikakifungia kipindi chache cha Darasa la Uongozi alichokuwa akirusha YouTube.

Lakini mimi natazama hii kitu katika macho ya utofauti:

1. Polepole siyo muumini wa chanjo, ukifuatilia sheria za Malawi ili uweze kuingia ndani ya nchi hiyo kama ni mgeni unatakiwa uwe umechanjwa ndani ya saa 72 kabla ya kuingia nchini humo.

Unatakiwa kuwasilisha vielelezo vya majibu yako ya njia ya electronic, pia ukifika nao watatakiwa kukuchanja, lakini kama hutakuwa muumini wa kuchanja, unatakiwa kukaa karantini kwa muda wa siku 10 kabla ya kuruhusiwa kuingia na kuendelea na shughuli zao.

Swali, Polepole atakubali kuchanja na kubadili ule msimamo wake kwa kuwa tu amekuwa balozi? Au mimi sijui kuwa ukishakuwa balizi hadi kwenye ishu za afya unapewa kipaumbele cha kutokaguliwa kama umechanja au la?

2. Kwa kuwa alikuwa ameshaanza katabia ka kuwa mpinzani ndani ya mfumo, ni kama wamemuweka mbali ili wamfunge mdomo, kwani kwa levo ya ubalozi huwezi kumsikia akianza mambo yake yale ya WAHUNI au kuipinga Serikali ambayo imemteua.

3. Wanamseti, aende akawe balozi ili apotee kwenye siasa za Tanzania, kisha akiwa huko jamii ya Watanzania itapoteza kumbukumbu dhidi yake na baada ya muda anapigwa chini, kazi kwisha!

polepole.jpg
 
Jamaa wana style nyingi sana za kukufunga mdomo wakihisi ni threat kwao.

Wanaweza kukuvuta karibu kama alivyofanya kwa kina Lukuvi na Kabudi, au wakakupeleka mbali kama walivyofanya kwa Polepole, uoga unamtesa sana mama yao.

Polepole bora astaafu siasa akawe mwalimu wa shule yake ya siasa, au wampeleke kwenye chuo chao walichoanzisha akawe mkufunzi japo sidhani kwa itikadi zake kama watampokea.
 
Back
Top Bottom