Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Mamdogo watu wagomvi bila sababu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanao hapa wanakupa goodnight[emoji182][emoji182][emoji182]
Mama D umenichekesha sana yaani nimecheka hadi sasa bado nacheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao nyumbu wanapenda kukusumbua sana ila umewaweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

........
Wasalimie sana wanangu,waambie mamdogo nawapenda mno[emoji3059]
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Amechanjwa kimya kimya, huwezi kuingia Malawi ukiwa Balozi kama hujachanjwa. Mfumo ni lidude fulani halichezewi hata kidogo.
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Kwenye uapisho hajavaa hata barakoa kusisitiza msimamo wake
 
Balozi Malawi ni sawa na mjumbe wa nyumba kumi tu .poorest country in Africa
 
"Rais ameonesha ana nia thabiti ya kutokuacha alama ya uwakilishi kwa wananchi"

Hebu fafanua hiyo statement yako.
Wengi wanafikiria serikali haikubali kukosolewa, Raisi ameonesha nia na uwezo wa kupima, na kuamua kwa kwa hekima sana, tunataka serikali inayoamua kwa vitendo na kutenda, sisi ni wafuasi tu wa kile kinachoitwa good governance, Raisi ameonesha kwa vitendo na wote tumefurahi
 
Jamaa kapandishwa kileleni kabisa ili akidondoka patokee kishindo kikuu kikiambatana na mtawanyiko mkuu wa kila kiungo.
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Polepole ana jeuli sana. Wowote wamevaa barakoa lakini yeye hakuvaa
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Aisee, swali zuri sana
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Yaani ujinga wa mtu mmoja tu, tena kwa manufaa yake, ndio uuite mgogoro wa kidiplomasi?!!
Wewe ukimuona tu amekwenda kulipoti jua tayari ameshachanjwa, na hana ubavu huo wa kukataa.
 
Yule muumini na mfia Dini ya wapinga Chanjo hatimaye atachanjwa kabla ya kuelekea Malawi Kwa taratibu za nchi hiyo huwezi kuingia kama hujachanjwa, hili ni anguko lingine Tena la walinda legasi ya jiwe
 
Tatizo watanzania wengi huwa wanaongea ilimradi wametikisa taya kufungua na kufunga mdomo, Umefatilia sheria za unalozi kabla ya kuandika ??

Kuna mipaka ya sheria za nchi dhidi ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao.

hata passport yake saizi itakuwa ni "diplomatic", sio hizi za kawaida
 
Back
Top Bottom