Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Rais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole...
Labda atakuwa amechanja
 
Duuh sheeria za nchi hazilazimishi mtu kuvaa barakoa.
 
Polepole hakuwahi kufikiriwa kufungwa mdomo, na hakuwahi kuwa stress kwa serikali, Upendo tu wa mama ndio umempaisha na kufikia hadhi ya balozi ambayo ni kubwa kuliko Ubunge tena wa kuteuliwa, RAISI ameonyesha ana nia thabiti ya kutokuacha alama ya uwakilishi kwa wananchi,
Tumuunge mkono mama
Kotapini
Kuingia kwa nyundo kutoka kwa nyundo
"Rais ameonesha ana nia thabiti ya kutokuacha alama ya uwakilishi kwa wananchi"

Hebu fafanua hiyo statement yako.
 
Rais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole...
Kwani LAZIMA ??!

Mbona hata Tulia Alikuwa havaagi
 
Polepole ni samaki mbichi .... wasipomkunja mapema hatakunjika.

Haka kajamaa nafikiri kana siri fulani ambayo ndiyo imekuwa survival yake kwa sasa ... Something is not right here!!
Una akili sana MKUU!!huyu mtu anafanya KAZI na wenye nchi sio na wenye chama!nchi ni kubwa kuliko chama!!
 
Kuvaa barakoa kama ilivyo kwa chanjo ya uviko ni hiari na si kinga madhubuti ya maambukizo.

Wavaa barakoa huvuta hewa chafu wanayopumua na kama wana maambukizi kwenye mfumo wa kupumua, huongezeka. Na, waliochanjwa bado wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza.

Matokea ya matumizi ya barakoa au chanjo ni kushusha kinga asili ya mwili.
 
Polepole ni samaki mbichi .... wasipomkunja mapema hatakunjika.

Haka kajamaa nafikiri kana siri fulani ambayo ndiyo imekuwa survival yake kwa sasa ... Something is not right here!!
Mkuu, hana siri wala anachojivunia! zaidi ni heshima tu wanayojaribu kumpa!

Serikali (System) ikiamua, hakuna linaloshindikana, anaweza kunyang'anywa vyeo vyote ikiambatana na kufilisiwa mali alizo nazo.

Kiufupi, hakuna aliyewahi kupambana na serikali (System) akafanikiwa, mifano tunayo miiingi sana. sana.
 
Wahenga Waliona Mbali sana Waliposema MDOMO umekiponza KICHWA.Wakati Tanzania imekubali kupokea CHANJO ya Corona kuna Mtu Aliaapa HATACHANJA lakini Leo Kapata TEUZI na ili aiingie kwenye hiyo NCHI lazima Awe AMECHANJA
Swali ATACHANJA au HATACHANJA?
Mdomo uliponza Kichwa
Safari Salama .
 
Rais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole...
Polepole aliapa kuyokuchanja ndio maana hata Barakoa havai
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Pole pole ni kichaa
 
Wahenga Waliona Mbali sana Waliposema MDOMO umekiponza KICHWA.Wakati Tanzania imekubali kupokea CHANJO ya Corona kuna Mtu Aliaapa HATACHANJA lakini Leo Kapata TEUZI na ili aiingie kwenye hiyo NCHI lazima Awe AMECHANJA
Swali ATACHANJA au HATACHANJA?
Mdomo uliponza Kichwa
Safari Salama .
Kama amekubali kuapishwa lazima atachanja
 
Polepole hafanyi siasa kwa kuwa ana njaa, la hasha.

Ndio sababu hayumbishwi wala hamuogopi mtu.

#kataawahuni

Kaambiwa aingie darasani kwanza afunzwe siasa, kisha akutane na maza apimwe kama ameiva kabla hajaenda nchi za watu.
 
Back
Top Bottom