Hata mimi sina baya naye mwanangu sana ila misaada yake anayotoa ndio sielewi..!!Huyu dokta kafanyeje jamani mbona hanaga baya na mtu
Hahaha nikuwatupia tu , humu sijawahi kuja kwa lengo la kutafuta msaada.Unaemtupa ignore kwa ajili ya mada A anaweza kuwa msaada katika mada B
Hii ya kufukuliana makaburi ndio mbaya sana
Nikwambie watoe hapo unajiumiza mwenyewe kuwatunza mbwa wanaobweka nyuma ya keyboard..!!Yeah nimewatunza viumbe 310 , nilitaka ku wa un ignore nikashindwa , nikapotezea tu , kwa sababu hata nisipo ona wanacho post sioni mapungufu humu.
Upo tafuta nyuzi zake nenda kalie shida mahi usaidike..!!Upi?
Wehu nilio wa ignore ni chawa, na wale wenye matusi mazito hata kama hajanitukana mimi ila nikiona kafanya kwa mwingine, nikichafukwa nawatia huko , mbaya zaidi hata sijui namna ya kuwatoa , wakafie tu mbali .Nikwambie watoe hapo unajiumiza mwenyewe kuwatunza mbwa wanaobweka nyuma ya keyboard..!!
Halafu min ninavyokukubali sitegemei vichaa wa humu wakuumize kichwa bhana..!! 😹😹😹
Mi sina hata mmoja situnzi takataka 😹
Asubuhi asubuhiimebaki wapenda matako makubwa
Sasa nikwambie dawa ya chawa kuwakanda ili wasiambukize wengine uchawa..!!Wehu nilio wa ignore ni chawa, na wale wenye matusi mazito hata kama hajanitukana mimi ila nikiona kafanya kwa mwingine, nikichafukwa nawatia huko , mbaya zaidi hata sijui namna ya kuwatoa , wakafie tu mbali .
Msaada gani mkuu ? Halafu nikiwa ignore sio kwamba nimewafungia wao kunioana ni kwamba nimejifungia mimi kuona utumbo wao, yaani nimejipiga block ,kitu ambacho ni haki yanguIla wewe ni msaada wa walevi wenzio humu ujue ukiwaignore inakuwaje
Chawa kila siku si chini ya watano najiblock kuona utumbo wao , nikishasoma uzi wake na komenti halafu na weka ndani hata kabla ya kunijibu😅Sasa nikwambie dawa ya chawa kuwakanda ili wasiambukize wengine uchawa..!!
Hao wa matusi hawana maajabu, mtu aliyetokana na matusi ya wazazi wake walioshindwa kupiga bismillahi kabla hawajachojoana nguo kumtafuta yeye ndo akusumbue?? 😹😹😹
Hata sijui namna ya kufungua bwashe , bora nibaki na wachache sikuja hapa jf kujipa stress bwasheeWanasema hata comment yake huwezi kuiona hadi uifungue
Yaani huku tuna id fake .halafu mtu anakuwa na feki nyingine juu ahaaaaTatizo sio kulipuana tatizo ni kutukana kwa ID hii kisha unakuja kuleta umalaika kwa ID nyingine
Huo uoga 😹😹Chawa kila siku si chini ya watano najiblock kuona utumbo wao , nikishasoma uzi wake na komenti halafu na weka ndani hata kabla ya kunijibu😅