Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Usijareee imepita hio 😊!!Akitupiamo unitagimo 😅
Gentlemen tupo wengi, tunaelewa penz umea popote.Kabla ya yote ilibidi nikachungulie kwanza Umejiunga lini humu jamvini
Kama watu tunakutana na destiny helpers humu why not mume mke?
Kaa kwa kutulia huna pasaka Wala idilhaji moja
Siwez kupigwa kwa sababu nina katiba yangu ninayo isimamia ,yoyote atakae kiuka katiba yangu nina muepuka mara moja na yoyote atakae elewa katiba yangu nitaenda nae , wengi wanapigwa kwa sababu either hawana katiba kabsa au wanatumia katiba ya karne ya 15 kwenye karne ya 21.Utapigwa na Kitu kizito soon[emoji125]
Kufungua ID yangu ni moja ya kunifuatilia na kutaka kunijua,, hongeraKabla ya yote ilibidi nikachungulie kwanza Umejiunga lini humu jamvini
Kama watu tunakutana na destiny helpers humu why not mume mke?
Kaa kwa kutulia huna pasaka Wala idilhaji moja
Katiba??? Unaleta siasa kwenye uhalisiaSiwez kupigwa kwa sababu nina katiba yangu ninayo isimamia ,yoyote atakae kiuka katiba yangu nina muepuka mara moja na yoyote atakae elewa katiba yangu nitaenda nae , wengi wanapigwa kwa sababu either hawana katiba kabsa au wanatumia katiba ya karne ya 15 kwenye karne ya 21.
I may agree or not agree with whatever you say but i will defend till death that you was telling the truth ( on how you see / point of view)Gentlemen tupo wengi, tunaelewa penz umea popote.
Katiba ni muongozo tu mkuu , mwanaume kama mfalme au kiongozi lazima uwe na katiba na miongozo fulani ili uweze kutimiza malengo yako mkuu.Katiba??? Unaleta siasa kwenye uhalisia
😂😂 sio tu hii mada namaanisha mada nyingi sana ni za kupondea wanawake, na mada ya ushoga zilianza hivi ikafkia wakati kila uki log in manyuzi ya ushoga kibao huoni tuna promote? hata kama kweli wanatukera.. Au hapa tuna promote misogyny. Lakin huu mtizamo wangu tu mkuu sio sheria!Yaani kuambiwa huku hamna wife material wewe unaota huku ni kuchamba??? Huu ni ukweli unaouma...
🙌🙌🙌🙌Katiba ni muongozo tu mkuu , mwanaume kama mfalme au kiongozi lazima uwe na katiba na miongozo fulani ili uweze kutimiza malengo yako mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] lugha ngum mno, simplify next time..^Most men, mal-educated men, are gravely intimidated by independent, informed, relatively first-class women. The reason is simple. Many traditions and cultural values, more often than not, raise men in the sole mindset of slave masters and absolute dominators. Women, in their own estimation, are profiled and classed in the same category as any other commodity. Talk about liking to be worshipped! You can imagine their disappointment when women seem to shrug off these incendiary shackles of oppression^ (Psychology of Male & Female Values, p. 502).
Msamehe akili yake imevurugikwa Kwa sasa baada ya kupigwa tukio[emoji23]Katiba ni muongozo tu mkuu , mwanaume kama mfalme au kiongozi lazima uwe na katiba na miongozo fulani ili uweze kutimiza malengo yako mkuu.
Yan lugha ngumu sana ukichanganya na matumizi ya nukta mkato n.k namna vilivyotumika huelewi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lugha ngum mno, simplify next time..View attachment 2568404
Haiwezi tokea watuwem na wabaya Kila sehemu wapo na tunaishi nao ukipitia gumu ndo ulilopangiwa so usiwaamishe watu mabaya kwasababu ya magumu Yako Hao hawakudate na mwanaume wako au mwanamkewako mjingaCheka Sana utakuja kulia humu humu jf uku ukisema kataa ndoa
Yupo sawa tu mkuu ni katika hali yakupeena maarifa tu mkuu.Msamehe akili yake imevurugikwa Kwa sasa baada ya kupigwa tukio[emoji23]
Social media have become major source to connect people, ideas, feeling and socializations. Positive attitudes and intentions can connect you with your soul mate here in jamiiforum.I may agree or not agree with whatever you say but i will defend till death that you was telling the truth ( on how you see / point of view)
Yeye mwenyewe kaweka Id na dp fake alafu anasema ni husband material.Id fake ni kwaajili ya privacy tu, kwahiyo wenye uhalali wa kumiliki ID fake ni sisi wanaume na sio KE?
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anaelimu kubwa Sana.. tena anaitumia vibaya sanaYan lugha ngumu sana ukichanganya na matumizi ya nukta mkato n.k namna vilivyotumika huelewi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa JF si ndiyo wanaishi mtaani.Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.
Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi.
Mwanamke anatumia ID fake anaweza kweli kuwa mama Bora wa familia, washazoea kuigiza maisha. Vijana wa JF acheni kwenda PM mtapigwa na kitu kizito, humu kila mtu yuko single.
Kama umeshindwa kupata mke uko mtaani kwenu usijidanganye uje JF kutafuta mchumba, umeishaaaa.