Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Utapigwa na Kitu kizito soon[emoji125]
Siwez kupigwa kwa sababu nina katiba yangu ninayo isimamia ,yoyote atakae kiuka katiba yangu nina muepuka mara moja na yoyote atakae elewa katiba yangu nitaenda nae , wengi wanapigwa kwa sababu either hawana katiba kabsa au wanatumia katiba ya karne ya 15 kwenye karne ya 21.
 
^Most men, mal-educated men, are gravely intimidated by independent, informed, relatively first-class women. The reason is simple. Many traditions and cultural values, more often than not, raise men in the sole mindset of slave masters and absolute dominators. Women, in their own estimation, are profiled and classed in the same category as any other commodity. Talk about liking to be worshipped! You can imagine their disappointment when women seem to shrug off these incendiary shackles of oppression^ (Psychology of Male & Female Values, p. 502).
 
Kabla ya yote ilibidi nikachungulie kwanza Umejiunga lini humu jamvini

Kama watu tunakutana na destiny helpers humu why not mume mke?
Kaa kwa kutulia huna pasaka Wala idilhaji moja
Kufungua ID yangu ni moja ya kunifuatilia na kutaka kunijua,, hongera

Kuhusu kuwa na pasaka na eid chache Ilo la kawaida tu.

Npo jf kitambo Sana baadhi ya member nawafahamu tokea kitambo wengine wapo mute siku hizi sijui Wana matatizo gani,,,tusichukuliane poa wakuu.

Nilianza kuijua Kwanza jf na kujifunza vingi.final nikawa na ID
 
Siwez kupigwa kwa sababu nina katiba yangu ninayo isimamia ,yoyote atakae kiuka katiba yangu nina muepuka mara moja na yoyote atakae elewa katiba yangu nitaenda nae , wengi wanapigwa kwa sababu either hawana katiba kabsa au wanatumia katiba ya karne ya 15 kwenye karne ya 21.
Katiba??? Unaleta siasa kwenye uhalisia
 
Yaani kuambiwa huku hamna wife material wewe unaota huku ni kuchamba??? Huu ni ukweli unaouma...
😂😂 sio tu hii mada namaanisha mada nyingi sana ni za kupondea wanawake, na mada ya ushoga zilianza hivi ikafkia wakati kila uki log in manyuzi ya ushoga kibao huoni tuna promote? hata kama kweli wanatukera.. Au hapa tuna promote misogyny. Lakin huu mtizamo wangu tu mkuu sio sheria!
 
^Most men, mal-educated men, are gravely intimidated by independent, informed, relatively first-class women. The reason is simple. Many traditions and cultural values, more often than not, raise men in the sole mindset of slave masters and absolute dominators. Women, in their own estimation, are profiled and classed in the same category as any other commodity. Talk about liking to be worshipped! You can imagine their disappointment when women seem to shrug off these incendiary shackles of oppression^ (Psychology of Male & Female Values, p. 502).
[emoji23][emoji23][emoji23] lugha ngum mno, simplify next time..
20230328_092741.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] lugha ngum mno, simplify next time..View attachment 2568404
Yan lugha ngumu sana ukichanganya na matumizi ya nukta mkato n.k namna vilivyotumika huelewi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I may agree or not agree with whatever you say but i will defend till death that you was telling the truth ( on how you see / point of view)
Social media have become major source to connect people, ideas, feeling and socializations. Positive attitudes and intentions can connect you with your soul mate here in jamiiforum.
 
Yan lugha ngumu sana ukichanganya na matumizi ya nukta mkato n.k namna vilivyotumika huelewi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anaelimu kubwa Sana.. tena anaitumia vibaya sana
 
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.

Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi.

Mwanamke anatumia ID fake anaweza kweli kuwa mama Bora wa familia, washazoea kuigiza maisha. Vijana wa JF acheni kwenda PM mtapigwa na kitu kizito, humu kila mtu yuko single.

Kama umeshindwa kupata mke uko mtaani kwenu usijidanganye uje JF kutafuta mchumba, umeishaaaa.
Wa JF si ndiyo wanaishi mtaani.
 
Back
Top Bottom