Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
-
- #101
Tunahitaji ushaidi mkuu hizo ni story za kusadidika ata wew nahisi una uhakika wa ndoa iyo je iko salama au ndo mwamba aliko uko anajuta kakosea kuoaKijana acha maneno na fikra potofu. miss chagga aliolewa na member wa hapa na wana miaka zaidi ya 6 pamoja.
I can swear hapa JF kuna wife Material wengi saaaana. Usisome maandishi yao na kuanza kuhukumu watu. Nakuapia wapo wengi. NikutajieTunahitaji ushaidi mkuu hizo ni story za kusadidika ata wew nahisi una uhakika wa ndoa iyo je iko salama au ndo mwamba aliko uko anajuta kakosea kuoa
Lete ushaidi mkuu
Hivi karibuni nitaongeza mke mwingine, ninakutunzia nafasi 😀😀😀Si umetoa bandiko juzi tu unataka kumuoa mtu anaishia na herufi h, kama umebadili naomba utarifu umma umeahamia kwa anaeishia na t 😁
Mkuu hii ni nafasi ya upendeleo kabisa a.k.a viti maalumu? 😅😍🥰Ni kweli wife material hawapo wengi ila usimchukulie poa babe wangu Darlin
Pia wanawake hawa ninaowafahamu angalau kidogo usiwachukulie poa binti kiziwi Dr Lizzy Saint Anne Joanah Depal Khantwe na niliowasahau
JF huifahamu yote na huwezi kuifahamu yote maisha yako yote so usipende ku conclude mambo
Kwani umetajwa hapo ww au shobo tuKwa hiyo mie chizi
Mbona povu we mdada ongea kwa step sio kama cherehani ya kimboka ®️®️😑Humu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
Mbona unaenda out of point imekuuma sana sio eehCha Arusha acha dharau maisha ni haya haya ukiwa na jeuri na kujiona utaishia kuwa shoga maana wanawake wotee umewadharau unaishia kuvalishwa shanga na vikuku ili ukidhi haja Yako
dah pole sana baby come down naona kama umepigwa kitu kizito kichwaniHumu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
Mkuu! Unanipendelea sana! Asante ....Huyu binti anayetumia id ya binti kiziwi michango yake humu inasadiki alivyo smart, na imani pia ni smart kwenye uhalisia na huwenda pia akawa binti mrembo haswa.
Unatema pumba za kuku wewe sijui unaongea nnEh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
Duh!! Hii ndio raha ya fake id. Umerusha kombora la masafa marefu a.ka ICBM.Humu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
Tatizo la hawa Wavulana wanaotahiriwa hospitalini tena wanapelekwa na mama au dada zaoWanaume wamezidisha kuchamba na umbea, its not healthy or fun anymore! kila kona thread za kuchamba wanawake wakina dr kumbuka mmezidi bana.
Hao wanawake (wenye miaka 18-35) wanaolipia wanaume kodi wako wapi? Hawahawa wadada ambao ukiwaomba namba leo, kesho anakwambia mjomba wake kameza shoka, anaomba tshs elfu kumi?Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
Sahihi Mkuu 🤝Tatizo la hawa Wavulana wanaotahiriwa hospitalini tena wanapelekwa na mama au dada zao
Hawajapitia jando hawa
Kama wewe ni Mwanamke unayejitambua mpeleke kijana wako JANDO, hata mambo ya uchoko atayachukia